Mama Pretty nimezama penzini

Mama Pretty nimezama penzini

Mapenzi ni utapeli. Ukishalijua hilo usijifie mbele za watu. Kuna mwanamke km wewe alikuwa ananiambia ananipenda sana ila sasa aninichukia sana na kaniweka blacklist. Km ulinipenda kwanini unichukie? Unanikumbusha ndoa ya Dullah makabila na Zai
😂😂😂
 
= You're / You are.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
You're right sir, but you don't need to criticize offensively as you know this language was brought by plane😀...just be kind....kama watu wanakosea kiswahili and it is their mother tongue sembuse English ambayo si lugha yetu
 
I am simply teaching by correcting the mistakes. If you are offended, think twice before you write.

Though you may be an uneducated fool from an uneducated school. Take it easy.
 
Kumbe huna lolote yaani nikajua unajua kweli kizungu Aya " the mistakes" ndio kingereza Cha wapi😀😀😀😀 remove that article alafu nenda kasome Tena structure......b**ch
 
Mapenzi ni utapeli. Ukishalijua hilo usijifie mbele za watu. Kuna mwanamke km wewe alikuwa ananiambia ananipenda sana ila sasa aninichukia sana na kaniweka blacklist. Km ulinipenda kwanini unichukie? Unanikumbusha ndoa ya Dullah makabila na Zai
Kwamba akikupenda jana na kesho akupende....

Je yule aliyekupenda ndio wewe wa leo..., huenda wewe ndio umebadilika au he / she fell in love with a difference person (who might not have existed) the case of mistaken identity...
 
Mapenzi ni utapeli. Ukishalijua hilo usijifie mbele za watu. Kuna mwanamke km wewe alikuwa ananiambia ananipenda sana ila sasa aninichukia sana na kaniweka blacklist. Km ulinipenda kwanini unichukie? Unanikumbusha ndoa ya Dullah makabila na Zai
Kwamba akikupenda jana na kesho akupende....

Je yule aliyekupenda ndio huyu wa leo..., huenda wewe ndio umebadilika au he / she fell in love with a difference person (who might not have existed) the case of mistaken identity...
 
Back
Top Bottom