Sema ndio vikitumbukiaga nyongo duuh [emoji38][emoji38]
Utasema ni wale walikuwa wanaitana sweet, honey, baby n.k ?
Sasa imekuwaje jomoni?! [emoji3][emoji28]
Yaani hata kama mmejaliwa watoto wazuri na wenye akili Bora ni kazi bure [emoji108][emoji108]
Mwanaume utaonekana kama maviiii
Mwanamke ulizani wewe ni malkia kumbe wapiii [emoji1787][emoji1787]
Tujifunze tu namna bora ya kuhusiana na Mwanaume wako na nduguze.
Usiseme nimeolegwa na mmoja.
Swala la kujenga au kubomoa mahusiano limeachwa kwa mwanamke.
Hekima msingi wake ni subira na uvumilivu mkubwa.
Kipindi cha kusubiri na kuvumilia ni kipindi cha kujifunza na ku-apply kuamua mambo Kwa usahihi bila majuto .