Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
- Thread starter
- #201
Laki moja dailyAnakulipa $ ngapi per day Huyo aliyekuzamisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki moja dailyAnakulipa $ ngapi per day Huyo aliyekuzamisha?
Sijui kingerezaaWhen spring come, I will marry you
Mshindi atatangazwa tuVijana nao hawakuachwa nyuma wakajibu kwa ufasaha kwamba wanakupenda pia uchague mwenyewe
Kumbe wewe ndio mshenzi wa tabianiliomba vya mwiko
nn tena😂Kumbe wewe ndio mshenzi wa tabia
Jf bwana SI ajabu ukakuta hili ni dume.Jamani hamjambo?
Love is a beautiful thing.
Mama pretty nimezama penzini. Baby wangu upo humu. I love you so much😘😘😘
Kwahiyo unamaanisha Mama pretty ni mjomba flani hivi mwenye ndevu na sauti nzito?🤣Jf bwana SI ajabu ukakuta hili ni dume.
Utakuwa mkweli ukitumia na uthibitisho wa miamara.Laki moja daily
Usicomplicate maisha mama...take it easymibaba mizima imejitoa ufaham halaf ukute ina watoto wanajua baba yao anafanya madili ya maana kumbe linavamia thread kwa comment za kijinga
Hakuna namna, ngoja niuze tu mali ya urisi, najua kuna shepu ya kuvunja chaga hapaBasi utabaki na upendo wako
Kupanga ni kuchagua tuko live tunasubiri usajili utakuwajeMshindi atatangazwa tu
Watasutwa😁Watu wa jf kwa umbea🙌🏼
Enjoy 😉Ndio mahaba
Nilishazamishwa na jamaa wa chuggani hata nasikia sasa!!! 😂😂😂
Ndio ndio hapa mwisho wa reli[emoji23]Nilishazamishwa na jamaa wa chuggani hata nasikia sasa!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Countrywide ndio nampenda jf nzima [emoji2222][emoji2222]
Ogopa matapeli Lamomy wa Kantri [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ndio ndio hapa mwisho wa reli[emoji23]
Kuna nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila humu
Yakikukuta pia utuletee mrejesho humuhumuJamani hamjambo?
Love is a beautiful thing.
Mama pretty nimezama penzini. Baby wangu upo humu. I love you so much[emoji8][emoji8][emoji8]