Mama Pretty nimezama penzini

Mama Pretty nimezama penzini

Shogareee akee, hongeraa kwa kuwa penzini,
Nawaombea kheri na baraka, pia mfike mbali zaidi.

[emoji178][emoji178][emoji178], Mpe hi shemelaa.
Asante my love😘😘 atapita humu ataona😅😅
 
Back
Top Bottom