Mama punguza upole, mboni zako zinachezewa

Eti huyu naye ni mshauri wa 'mama'
 
Sio kikundi chatu tu tako wewe, ni wananchi wote hatumtaki, wanao mnataka ni wale tu anao shirikiana nao kwenye kutapanya rasilimali za umma kama wewe na mnao hongwa hongwa vi rushwa vya hovyo hovyo huko mitaani aka MACHAWA = WACHAFU
 
Eti huyu naye ni mshauri wa 'mama'
Mkuu kuna watu ukitazama michango yao humu unapata jibu kuwa hawa sio watz. Hata ktk hao chawq maarufu wa humu wanaoshabikia utekaji na kuzorota kwa umoja wa kitaifa utakuta wengi sio watz. Watakuwa raia wa kigeni au wanatoka chini kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…