Mama Rwakatare ni Mtakatifu au Mtakavitu?

Zaidi ya yote nimeongea kwa mujibu wa mtoa mada. Kama utaangalia kwa makini nilichokisema kimetokana na kichwa cha habari nilichoki-qoute.

Nadhani mpaka hapo umenielewa!
 
mmmhhhhhhhhhhhhhhh ole wao!!!!!!!!!!!! wasemao watumishi wa mungu
 
Sakata La Kuchinjwa Binti Mchanga Wa Miaka 3 Na Mmoja Wa Vijana Hawa Nulifies All The Porojos Above. Lets Analyse This Issue CRITICALLY. Je, Huyu Kijana Ametumwa Na Hao (watu Wa Mungu) Ili Kugeuza Mwelekeo Wa Mjadala Huu? Nasubiri Matokeo. Akibanwa Atasema Ukweli. La Muhimu Asiuawe Halafu Tuletewe Longo Longo Zisizo Na Kichwa Wala Mguu.
 
Usanii mtupu, Hakuna nguvu zozote alizonazo huyu mama. Muongo na hana jipya. Mimi nasema huyu mama Mdanganyifu, Msanii na ni nabii wa Uongo. Sasa tuone kama mimi ntakata Kichwa cha mtoto wa miaka 3 kwa kutoa maneno hayo.
 
Wajinga ndo wanaoliwa,huyu mama yetu mpendwa amedhihirisha kuwa hana upako wowote ule wa Mungu, watu walip[ata wasiwasi pale alipoteuliwa kuwa Mheshimiwa.Wahubiri wengi wa bongo, wanasaka noti tu, na sitakuwa na shaka kama huyu mama atakuwa mmojawapo.

Acheni mambo ya dunia na mnifuate na ukinikiri kwa kinywa chako, ni heri uwe baridi au Moto na siyo mwanasiasa_Mchungaji.

Wizi mtupu.
 
Ni ngumu kujua kati ya huyu RwaKATARE NA kAKOBE ni yupi Tapeli Namba 1.

Yote watasema, lakini hili moja ni sahihi, kuwa wote hawa wawili leo hii ni Mabilionare kwa kuitumia jina la YESU.

Kama wao watumishi kweli wa Mungu, wamsikilize YESU kasemaje juu ya matajiri? Je wanatoa kila fungu lakumi kwa masikini?
 

nani ,wapi,lini umeaambiwa fungu la kumi ni kwa maskini????????????????
 
uliza vizuri msikitini fungu la kumi linatakiwa kupelekwa wapi??
baada ya hapo soma mstari uansema ole wao wagusao masihi wa bwana...swala la pesa kuliwa na wachungaji huna mamlaka ya kuuliza...Mungu ndie atakaewauliza soma malaki 3:10-15 kwa msaada
 
mmmmmmmhhhhhhhhhhhh mi narudi

uwanja wa michezoooooooooooooooo
 
No comment...kwasababu nafahamu fika Rwakatare ni mwizi, mwongo na anaweza kuwa muuaji (bado sina proof) from day one!....
 
No comment...kwasababu nafahamu fika Rwakatare ni mwizi, mwongo na anaweza kuwa muuaji (bado sina proof) from day one!....
Rwakatare ni Muuaji. Ninaproof, ila si vizuri kuitoa hapa kwa usalama wa watu wengi tu.

Ila za mwizi ni Arobaini, maadam kaingia Bungeni basi huo ndio mwisho wake.

Si mnajua mroho...........
 
Eti, Rwakatere naye ni mtumishi wa Mungu. Ahhh Wpentekoste nanyi mmezidi.

Hivi mnapatwa kirahisi namna hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Rwakatare ni Muuaji. Ninaproof, ila si vizuri kuitoa hapa kwa usalama wa watu wengi tu.

Ila za mwizi ni Arobaini, maadam kaingia Bungeni basi huo ndio mwisho wake.

Si mnajua mroho...........


Wewe umesha muhukumu kwa kumuita muuaji. Sasa basi, kwanini usiweke hizo tangible and impeccables exhibits tuzione hapa. Ili tumpeleke mahakamani akapate haki yake kama muuaji?

Kama unaona aibu au unafikiri hizo exhibits zita kuwa obstracted. EMAIL ME AT CHRIST4ALLNATIONS1@YAHOO.COM. I will forwad same to my people in Dar, and they will deal with her.
 
Eti, Rwakatere naye ni mtumishi wa Mungu. Ahhh Wpentekoste nanyi mmezidi.

Hivi mnapatwa kirahisi namna hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



This is a bogus thread which lacks merits.

Mod funga hii thread ya udaku.

Zawadi can't support her case with tangible exhibits.
 
Acha maneno, eti nitziwakilisha!!! nyie si ndio hao hao, sasa kesi ya ngedele umpelekee nyani na usubiri kupata haki yako.

Hata kama kuzipeleka, nitazipeleka panapohusika maana huyu mama mtandao wake si mdogo. Ana watu kila pembe ya Tanzania. Toka serikalini mpaka kijijini. Kifupi amefanikisha malengo yake.

Mpaka CCM wakamuona na kumchagua Bungeni, haikuwa bahati nasibu bali ni moja ya kuthibitisha jinsi alivyo na mtandao mkali. Nafikiri sasa umenielewa!!!!!!
 
Huyu siyo Mchungaji ni mfanyabiashara, tayari amenunua hata ile Hotel ya Palm tree iliyoko Bagamoyo jirani kabisa na Paradise. Ameshaanza maandalizi ya kuporomosha vitu vya nguvu.
 
du kweli watakaourithi ufalme wa mbigu ni wachache kwa staili hii
 
mpeni mungu yaliyo yake.....na kaisari yaliyo yake.......bible ina sema huwezi kutumikia mabwana wawili...ila kwenye ulaji hata kama anatenda dhambi bado anaona ni halali kwake kuchanganya dini/uchungaji na siasa kitu ambacho si kweli......
''WATU HAWA WANIABUDU KWA MIDOMO,ILA MIOYO YAO IKO MBALI NAMI''....''MKIWA NA IMANI KAMA CHEMBE YA HARADANI,MNAWEZA KUAMURU MILIMA ING'OKE IENDE MBALI NA IKAWATII''....''SIKU HIYO WENGINE WATAKUJA KWANGU NA KUSEMA,BABA MBONA MIMI NILIITA WATU WENGI KWA JINA LAKO WAKAJA KWAKO?,NAE ATASEMA ONDOKA KWANGU SIKUTAMBUI''ngoja tuendelee kudanganyana tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…