Waandishi wa habari wanajua yote ya Mama Rwakatare, ila si unajua watanzania kwa ushirikina. Nao wanamuogopa, mashujaa kama sisi ni wachache.
Hebu angalia huko nyuma eti alimfungia muumini katika chumba cha kanisa kwa masaa mawili. Kisa eti alikuja kumuibia waumini, kwani yeye hao aliwapata wapi. Halafu watu miongoni mwao waumini wanakaa na kumuamini na wala wasimkemee wala wasimshtukie.
Na bado akina MaxShibe wanamtetea kwa nguvu zote. Huyu mama si tu kuwa Tapeli na mshirikina, bali ni kichaa au mgonjwa wa akili.
Kuna mchungaji mmoja alikuwa wa aina hiyo, huko morogoro, naye aliishia jela. Ila huyu mama kwa vile kaikumbatia CCM basi jela si rahisi, tena atkuwa anamaliza kwa bua tu sasa hivi. Jamani watanzania amkeni!!!!!!!!!!!!!! Hiyo ndio dawa pekee.