Sugar wa Ukweli
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 373
- 38
Kiongozi una uhakika kuwa mtoto uliyemuona anatolewa majini live kwenye TV alikuwa na MAJINI?,je kama ilipangwa kati ya mama na huyo mtoto ili kugain publicty?Huyu mama ana nguvu za kitakatifu. Niliona kwenye TV live akimponya binti mmoja aliyekuwa na mashetani. Pia anaongea na anauwezo wa kuyaita majini yaliyomo ndani ya mtu. Si hivyo tu pia anayatoa na binti anapona. Hii yote live kwenye tv mbele ya maelfu ya wauminil. Ananguvu za roho mtakatifu. Mimi binafsi sina majini na siyajui, ila ningekuwa nayo ningemtafuta.
Tatizo ni kwamba katika Biblia ya Rwakatare, maneno hayo uliyoyaandika hayamo. Si unajua ziko Biblia aina tofauti, nyingine zina vtabu 77 na nyingine zina vitabu 66. Ya Rwakatare nasikia ina vtabu pungufu kabisa.mpeni mungu yaliyo yake.....na kaisari yaliyo yake.......bible ina sema huwezi kutumikia mabwana wawili...ila kwenye ulaji hata kama anatenda dhambi bado anaona ni halali kwake kuchanganya dini/uchungaji na siasa kitu ambacho si kweli......
''WATU HAWA WANIABUDU KWA MIDOMO,ILA MIOYO YAO IKO MBALI NAMI''....''MKIWA NA IMANI KAMA CHEMBE YA HARADANI,MNAWEZA KUAMURU MILIMA ING'OKE IENDE MBALI NA IKAWATII''....''SIKU HIYO WENGINE WATAKUJA KWANGU NA KUSEMA,BABA MBONA MIMI NILIITA WATU WENGI KWA JINA LAKO WAKAJA KWAKO?,NAE ATASEMA ONDOKA KWANGU SIKUTAMBUI''ngoja tuendelee kudanganyana tu.....
MAMA Rwekatare ni Tapeli,tuhukweli sio nabii kama anavyojitangaza.
ana mambo kibao ya giza ambayo anayakumbatia.Ni Msanii.
mumewe yupo hai Mr Rwekatare ,mama Rwekatare ni mpogoro wa mahenge sehemu inaitwa MLUNGUCHIBIDU.kama kweli anajua kusamee amsamehe kwanza mumewe warudiane,(kama awezi kusamehe si Mkristu),pili Mungu huwa anaongea mara moja tu
kumbuka Musa alipopiga fimbo mara 2 alipata adhabu ya mungu,iweje mchungaji kama Rwekatare afoke zaidi ya mara 20 kumtoa mtu pepo?
HUKWELI NOW INABIDI WATU WAWE MACHO
JE NINANI ANAMJUA MKE WA KAKOBE?WHY AYUPO SO CLOSE NA MUMEWE?
JE NI KWELI UKIWA MCHUNGAJI NA MKEO NAE ANAO UPAKO?
WHY THEN NOT THE SAME WITH JESUS,MARY AND JOSEPH?
TUJIAZALI KWALI KINA ELIA WAPO NAPIA MANABII WA MIUNGU YA UWONGO WAPO WENGI TU.
Ukweli ujinga wa watanzania ndio unaomstawisha huyu Mama. Fikirini, kama tusingeenda kwake si angerudi upogoroni tu!!!MAMA Rwekatare ni Tapeli,tuhukweli sio nabii kama anavyojitangaza.
ana mambo kibao ya giza ambayo anayakumbatia.Ni Msanii.
mumewe yupo hai Mr Rwekatare ,mama Rwekatare ni mpogoro wa mahenge sehemu inaitwa MLUNGUCHIBIDU.kama kweli anajua kusamee amsamehe kwanza mumewe warudiane,(kama awezi kusamehe si Mkristu),pili Mungu huwa anaongea mara moja tu
kumbuka Musa alipopiga fimbo mara 2 alipata adhabu ya mungu,iweje mchungaji kama Rwekatare afoke zaidi ya mara 20 kumtoa mtu pepo?
HUKWELI NOW INABIDI WATU WAWE MACHO
JE NINANI ANAMJUA MKE WA KAKOBE?WHY AYUPO SO CLOSE NA MUMEWE?
JE NI KWELI UKIWA MCHUNGAJI NA MKEO NAE ANAO UPAKO?
WHY THEN NOT THE SAME WITH JESUS,MARY AND JOSEPH?
TUJIAZALI KWALI KINA ELIA WAPO NAPIA MANABII WA MIUNGU YA UWONGO WAPO WENGI TU.
Waandishi wa habari wanajua yote ya Mama Rwakatare, ila si unajua watanzania kwa ushirikina. Nao wanamuogopa, mashujaa kama sisi ni wachache.Investigative journalism hakuna Tanzania.Ingekuwa na demokrasia nzuri mama kama huyu watu wangejua everything.Je hiyo miradi yake kuna mtu mwingine?Mr Rwakatare
alikosea nini,au ni Shomile behaviour ?Kwa nini aingie Ubunge?Je anaconnection gani na CCM?
Waandishi wa habari wanajua yote ya Mama Rwakatare, ila si unajua watanzania kwa ushirikina. Nao wanamuogopa, mashujaa kama sisi ni wachache.
Hebu angalia huko nyuma eti alimfungia muumini katika chumba cha kanisa kwa masaa mawili. Kisa eti alikuja kumuibia waumini, kwani yeye hao aliwapata wapi. Halafu watu miongoni mwao waumini wanakaa na kumuamini na wala wasimkemee wala wasimshtukie.
Na bado akina MaxShibe wanamtetea kwa nguvu zote. Huyu mama si tu kuwa Tapeli na mshirikina, bali ni kichaa au mgonjwa wa akili.
Kuna mchungaji mmoja alikuwa wa aina hiyo, huko morogoro, naye aliishia jela. Ila huyu mama kwa vile kaikumbatia CCM basi jela si rahisi, tena atkuwa anamaliza kwa bua tu sasa hivi. Jamani watanzania amkeni!!!!!!!!!!!!!! Hiyo ndio dawa pekee.
Tatizo ni kwamba katika Biblia ya Rwakatare, maneno hayo uliyoyaandika hayamo. Si unajua ziko Biblia aina tofauti, nyingine zina vtabu 77 na nyingine zina vitabu 66. Ya Rwakatare nasikia ina vtabu pungufu kabisa.
Hapo ndipo mchezo ulipo.
kuhonga nini? mbona hueleweki wewe?!