Mama Rwakatare ni Mtakatifu au Mtakavitu?

Mama Rwakatare ni Mtakatifu au Mtakavitu?

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,789
Reaction score
473
Ninavyoamini mimi, wachungaji ni watu maalum katika jamii ambao wamejaliwa kuwa viongozi wetu wa kiimani....nimesoma kwa mshtuko from some newspapers that mchungaji mama Getrude Rwakatare (MB), amedanganywa na vijana, tena wadogo mno kiumri (7-10 yrs), waliojifanya ni wachawi waliodondoka toka safari zao

...eti cha kushangaza zaidi, ilibidi ipigwe ibada ya nguvu kuwaombea!

Utata ninaopata mimi, na ninaomba wadau wenzangu mnisaidie ni kwamba, je mama Rwakatare alishindwa kutumia nguvu za kiroho alizonazo kutambua kwamba those guys were con-men? Uko wapi mpako wa roho mtakatifu kwa mchungaji wetu? haya, kazi kwenu, tudanganyeni tu!!!??
 
Nimejaribu kujizuia hapa lakini nimeshindwa.

Kwa hivyo this is my take...huyu mama hana cha dini wala nini. All these days anatumia dini kama kigezo cha kutengeza fweza.

Hio ishu uliosema yaeza kua kweli maana namjua huyu mama for double dealing in faith and worldly matters...imani ya ushirikina included.

Kwa hivyo there you have it draw your conclusion.
 
Wachungaji wanafanya maombi kwa kauli ya muhitaji na sio kama mtoa mada anavyozania.Hicho kipawa anachokitaka mtoa mada kwamba huyo mbunge alitakiwa kujua mapema kama shida yao ni yakweli au la hakiwezekani,hebu fafanua zaidi
 
huyu mama kwangu mimi naona kama ni mtafutaji tu kama tulivyo wengine!huko kwenye makanisa yake ndiko "ntoke vipi yake".angekuwa yupo kiroho ukweli basi mahubiri yangeanzia kwenye familia yake,watoto wake walevi mbwa mtaani....
 
ANOINTED OF THE LORD IS THE ANOINTED OF THE LORD...! WAHESHIMIWA TUNAPOZUNGUMZA KUHUSU MTU WA MUNGU KUMBUKA TUNAMGUSA MUNGU MWENYEWE.....(rejea habari ya DAUDI wakati anatafutwa na mfalme SAULI......nguo tu ya mtu ambaye MUNGU amemchagua ilpokatwa DAUDI aligundua kuwa amekosea.....)

TUJE KWENYE HAO 'conmen' MIUJIZA IPO, KWANI HATA MIMI IMEWAHI KUNITOKEA HIVYO HILO SIPINGI.......SWALI LINAKUJA KUWA KUNA WENGINE INASEMEKANA NI MISUKULE AU WACHAWI NK.......BINADAMU HUTAKA UTHIBITISHO KUWA WATU HAO KWELI NI WAO AU 'usanii wa madhabahuni' WANATOKA WAPI? WAZAZI WAO NI KINA NANI?USHAHIDI TOKA KWA VIONGOZI WA KIJIJI AU SERIKALI ZA MITAA NA 10 CELL LEADERS NK.......!

HII ITAONDOA ZILE TETESI KUWA WATU WANALIPWA ILI KUJA KUJIFANYA WAGONJWA ILI WAOMBEWE NA KUPONA.......(ze comedy wamewahi igiza hii)......WASIMAMIZI WA IMANI HAYA YAKIFANYIKA YATAONDOA DOUBTS ZILIZOPO URAIANI.......!
 
Mahesabu, heshima yako mbele

Nakubali The annointed of the Lord is The annointed of the Lord and we do not question such a kind.Lakini huyu mama hamna cha annointed wala nini...ni tapeli and she has used the Lord's word to satisfy her earthly desires...that is the difference!

Kwa ufupi if she does not repent and come clean then the Lord will cast her to the fires of hell that are reserved for Lucifer and his angels.Kumbuka the Bible tells us our Lord is a jealous God and He doesn't come second.You do not mix the Lord with earthly 'things' or He will deny you come that day.

THE WRITING IS ON THE WALL!!!!!
 
The whole organized religion thing is a big farce.

If you understand that, these smaller farces within the biggest story ever sold will seem like child's play.
 
Huyu mama huwa ana claim kuwa na nguvu za ku cure. She claims to see the unseen, hear the unheard and touch the untouched. Anaamini kapewa nguvu za kiroho na mungu. Walichofanya hao watoto nahisi si wakristo tena ni kumtega mama wa watu kwa makusudi ili wamuaibishe. Alafu wakamuandika magazetini ili kumkomoa. Si vizuri hata kidogo.

Yaani ni sawa na mimi nimfuate kiongozi muadilifu kuliko wote alafu nimuofe $1 billion dollars kama rushwa alafu akipokea namfunga na kumnyang'anya hela zangu. Kuna mitego mingine ni beyond reality.
 
ANOINTED OF THE LORD IS THE ANOINTED OF THE LORD...!

Are you trying to tell us that this woman is among the annointed ones? You can't be serious!

WAHESHIMIWA TUNAPOZUNGUMZA KUHUSU MTU WA MUNGU KUMBUKA TUNAMGUSA MUNGU MWENYEWE.....(rejea habari ya DAUDI wakati anatafutwa na mfalme SAULI......nguo tu ya mtu ambaye MUNGU amemchagua ilpokatwa DAUDI aligundua kuwa amekosea.....)
Hivi ni nani ambaye si mtu wa Mungu? Hata mfuasi wa shetani ni mtu wa Mungu. Haya ndio miongoni mwa matatizo ya kutafsiri maandiko.
 
Huyu mama huwa ana claim kuwa na nguvu za ku cure. She claims to see the unseen, hear the unheard and touch the untouched. Anaamini kapewa nguvu za kiroho na mungu. Walichofanya hao watoto nahisi si wakristo tena ni kumtega mama wa watu kwa makusudi ili wamuaibishe. Alafu wakamuandika magazetini ili kumkomoa. Si vizuri hata kidogo.

Yaani ni sawa na mimi nimfuate kiongozi muadilifu kuliko wote alafu nimuofe $1 billion dollars kama rushwa alafu akipokea namfunga na kumnyang'anya hela zangu. Kuna mitego mingine ni beyond reality.

Bwanaee...siku hizi anaclaim hizo 'powers'???....Kweli kesha-graduate basi!
 
are you trying to tell us that this woman is among the annointed ones? You can't be serious!

hivi ni nani ambaye si mtu wa mungu? Hata mfuasi wa shetani ni mtu wa mungu. Haya ndio miongoni mwa matatizo ya kutafsiri maandiko.

nimetumia neno ...mtu wa mungu....kwa mwongozo wa kibiblia......!

Hebu turejee kwenye gombo la chuo tuone matumizi hasa ya neno hilo.....!

soma 2kings 1:9(2wafalme 1:9)......hapo tumeenda moja kwa moja kwenye matumizi ya neno ...mtu wa mungu....!

Ukianza mwanzo wa kitabu cha wafalme wa pili mpaka pale mfalme anaongezewa umri wa kuishi inaeleza kwa kina kuhusu swali lako....hapo ndipo utakapoona kuwa kuna watu wa mungu......!
 
Huyu mama ana nguvu za kitakatifu. Niliona kwenye TV live akimponya binti mmoja aliyekuwa na mashetani. Pia anaongea na anauwezo wa kuyaita majini yaliyomo ndani ya mtu. Si hivyo tu pia anayatoa na binti anapona. Hii yote live kwenye tv mbele ya maelfu ya wauminil. Ananguvu za roho mtakatifu. Mimi binafsi sina majini na siyajui, ila ningekuwa nayo ningemtafuta.
 
Wakuu hebu mtafutieni huyu ile link ya kipindi cha ze-comedy ambako Masanja Mkandamizaji na wenzie wanayafanya hayahaya kwenye tv! Yesu mwenyewe alikuwa anaponya kisha anawaambia waliopona wasimwambie mtu, au anawatuma wakatoe shukrani kwa Mungu, sasa hawa wanaofanya matangazo kwenye tv ni biashara? Siku hizi kumezuka tatizo la watu kutafuta miujiza kwanza ndipo waweze kuamini, ilhali mafundisho ya Biblia ni kuamini kwanza, kisha miujiza itawafuata waaminio.Tutasikia mengi!
 
Huyu mama ana nguvu za kitakatifu. Niliona kwenye TV live akimponya binti mmoja aliyekuwa na mashetani. Pia anaongea na anauwezo wa kuyaita majini yaliyomo ndani ya mtu. Si hivyo tu pia anayatoa na binti anapona. Hii yote live kwenye tv mbele ya maelfu ya wauminil. Ananguvu za roho mtakatifu. Mimi binafsi sina majini na siyajui, ila ningekuwa nayo ningemtafuta.

Hio statement nilio-highlight naomba uirudishe kapuni.

Kisha unasema uliona laivu akimponya mtu????...mmmmmh!..very
interesting statement yet full of a fallacy...HAKUNA BINADAMU
ANAYEMPONYA MTU!!!!
....The human being is the channel by which
'the power of christ to cast out demons, is manifested'.Hayo
mashetani usemayo weye nadahani humsikiza Yesu na sio binadamu.
Get that point as it should be.

From there also realize that the annointing of God does not
come upon 'unclean' beings but those that are chastised and humbled.
Yesu mwenyewe alipokua anafanya miujiza yake, alikua akiwaambia
watu waende na kumsifu Mungu...give praise to the Lord na sio yeye...
such humility is exemplary.

Lakini hawa wahubiri wa siku hizi leave a lot to be desired
na hizi TV shows zao.Kwa ufupi these days the whole shabang is
about money making na kujionyesha.As a matter of fact if you have
been careful to observe, God has really recoiled himself from
the Church of today. These are not the days like when kina T.L. Osborne
na Billy Graham used to go around and preach Gods word.Miracles
used to follow very easily.Siku hizi unasikia pastor aki-advertise
eti kutakua na rally ya kuombea miujiza!!!!... knowing very well
that people will flood those churches expecting to see something
out of the ordinary...kisha watatoa sadaka...U catch the drift???
 
NIMETUMIA NENO ...MTU WA MUNGU....KWA MWONGOZO WA KIBIBLIA......!

HEBU TUREJEE KWENYE GOMBO LA CHUO TUONE MATUMIZI HASA YA NENO HILO.....!

SOMA 2KINGS 1:9(2WAFALME 1:9)......HAPO TUMEENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MATUMIZI YA NENO ...MTU WA MUNGU....!

UKIANZA MWANZO WA KITABU CHA WAFALME WA PILI MPAKA PALE MFALME ANAONGEZEWA UMRI WA KUISHI INAELEZA KWA KINA KUHUSU SWALI LAKO....HAPO NDIPO UTAKAPOONA KUWA KUNA WATU WA MUNGU......!

Mkuu Mahesabu,

Hatujakataa eti hakuna The annointed of The Lord...our
point is Mama Rwakatare does not qualify in that category.
This is a very rare class of people.The so called preachers
of today don't have a lick of annointing in them bali ni
kujimakisha tu eti "niko annointed..niko annointed"
 
ukweli ni kuwa huyu mama anatumia dini kujitaftia kitoweo.
siku anatangaza kuwakamata hawa watoto misukule aliwafunga kamba waumini wake kuwa nguvu za mungu ndo ziliwaangusha misukule wale na maombi ambayo yeye aliyapolomosha siku ile ndo yalipelekea watoto wale kuzidiwa nguvu na kuanguka, sasa kiko wapi?
na kama mnakumbuka kuwa huyu mama alishataka kulikabidhisha kanisa kwa T.A.G pale alipohisi kuwa anaweza kuukwaa uwaziri toka kwa kikwete, na baada ya baraza kutangazwa na kujikuta hakuambulia kitu mbona ule mpango wake akaauuwa?
mwenye akili timamu ataungana na mimi, ila misukule watanipinga...
 
Gang Chomba,
Mimi nakuunga mkono wani handredi pasenti mkuu!!!
Big ups kwa yote ulosema.Mama yumo katika harakati za
kutafuta posho.Mimi ningemsupport mitikasi yake kama mjanja
mtoto wa mjini lakini anapomhusisha Mungu nadhani anakiuka
mipaka.
Mamangu mzazi alipenda sana kunipa wasia nikiwa mdogo na
aliniambia mambo yoyote ya ulimwengu wa musa tafadhali
usimshughulishe Mungu maana atateremka kutoka mbinguni
na kuja kutuzaba vibao!!!Imagine hio imani nilikaa nayo siku kibao mpaka
nilipofika umri wa kuelewa mambo ukubwani.Kwa ufupi have the fear
of God in you na haya matani anayofanya Rwakatare, arobaini yake itafika tu
...kama bado haijafika.
 
Back
Top Bottom