TANZIA Mama Sabetha John Mwambenja afariki dunia

Asante kwa niaba ya Ngundilila
 
Kifo cha huyu Mama angesingiziwa mwendazake. R.I.P Mwendazake na Mwendazake. May their soul Rest In Peace. Amen
 
Asanteni kwa uzalendo
Enzi hizo sijui hawa watu walikuwa na akili gani alooo,eti ukifikisha miaka 18 unaanza kuakamatwa kama huna kitambulisho cha kodi ya kichwa hata kama huna kazi lazima ulipe,msako ulikuwa ukianza tunakacha home.
 
Poleni wafiwa wote. Pumzika kwa amani Mtumishi.
 
Too late to know about the passing away of this role model Mamaa nenda salama asante ulinijengea tabia na fikra njema za kupenda shule japo kwa kukusikia tu. Proud of Mamaa kwa heri.
 
asante kwa taarifa na pole kwa mume wake na watoto
 
Mama wa watu cv imetulia sana, sema watendaji kama hawa huwa hawakumbukwi na baala yake makada tu ndo hukumbukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…