Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitapenda kujibu hili,samahaniUpo chuo gani
Unasomea fani gani
DJ sepetu
OokNilikuuliza maana ulipotea ghafla nikahisi umetekwa[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
P.AUnasomea nini walau
DJ sepetu
We uliza ntajibuUnachelewa sana dia
DJ sepetu
Ni mtoto wa mwishoWewe ni mtoto Wa ngapi kuzaliwa
In a nutshell tuambie muonekano wako
DJ sepetu
Igombe palikua kijijini sana vp siku izi pamechangamka? Kulikua na gari kubwa la kutoka mwanza toun kwenda igombe kayenze bado lipoUnajishughulisha Na nini
DJ sepetu
NajibujeNapenda sana mama sabrina anavyojibu maswali
Kuna costa nyingi tuIgombe palikua kijijini sana vp siku izi pamechangamka? Kulikua na gari kubwa la kutoka mwanza toun kwenda igombe kayenze bado lipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Short alafu clearNajibuje
Napenda nilivyo,,sihofii mtu maana kila mtu ana kasoro,,halaf wanaopendaga vitu na kubagua huwa wabayaa wao hawavutii kabisaHahahaa huogopi maana behaviourist hawataki kabisa wasio Na chura jf[emoji23] [emoji23]
Una boy friend or lover
DJ sepetu