Habari wakuu,
Mwanafunzi Gibons Jack Mwasabwite, Founder wa MAMA SAFELIFE kutoka MUST – DBEE.
Amewasilisha mfumo huu kwenye Maonesho ya Elimu Ujuzi na Ubunifu Tanga 2026.
Amebuni kifaa cha kuvaa mkononi kinachofuatilia afya ya mama mjamzito Pamoja na mfumo wa ufuatiliaji wa mama baada ya kutoka hospitali.
Kinapima BP, Pulse, Temp KILA SIKU na kinatoa ALERT mapema kabla hatari haijawa kubwa.
Kinaangalia matokeo ya vipimo vyake vya kila siku na kulinganisha na tofauti yake.
Kinatumia Solar na kuchaji kwa umeme.
Kinalenga kupunguza "VIFO VYA KIMYA KIMYA" vijijini na mjini, hasa kwa wajawazito wanaoishi mazingira ya kuwa pekee au waliombali na wataalamu wa afya.
ZAIDI YA YOTE: Kinamuunganisha mama na familia yake hata kama wako mbali.
Familia inapata taarifa pindi tu mama anapofanya kipimo na kujua kama yuko salama au la.
Na kama hatofanya kipimo, ni rahisi ndugu au mwenzi kumkumbusha.
Hii inatoa amani hata kwa mama aliye mbali na nyumbani.
Tazama jinsi MAMA SAFELIFE inavyofanya kazi hapa:
View: https://youtu.be/DvJZoLn3cVM
Tuko wazi kwa ushauri na ushirikiano wenu.
Asante.
#MamaSafeLife #MadeInTanzania #InnovationTZ #VifoVyaKimyaKimya #Tanga2026