Mama Salma Kikwete afunguka maisha yake ya uraiani

Mama Salma Kikwete afunguka maisha yake ya uraiani


Mama Salma JK, kwa kweli ni mtu mwema !! kaweza kuleea wanae na watoto wengine hilo ni jambo la kheri zaidi... kaongeza kutunza raia wema!!
barakaAllaufikom. (M/Mungu ambarikie)
 
Kumbe huyu mama kazaa watoto tisa??

Mbona bado anaonekana "mbichi"......??
Huyo ni first lady mjomba ameishi maisha ya luxury muda mrefu sana huwezi mfananisha na shangazi yangu wa ifakara watoto wa3 tu utafikiri bibi wa miaka 70.
 
harudishe=arudishe
chura unarukaruka
48460-140.jpg


swissme
 
Back
Top Bottom