kwa hyo wanasaidiwaje?Naona Wana akili zinazofanana na msela wake jk, wote Wamejaaliwa ukwapuaji
unataka kusemaje AsigwaKumbe huyu mama kazaa watoto tisa??
Mbona bado anaonekana "mbichi"......??
Kwahiyo majipu anayotumbua Magufuli bado hamjaridhika nayo?
Hujasoma post ndomana umekurupukaSijasoma post yako but let me make a comment! Kufunguka nini ameishi miaka over 50 uraian leo miaka kumi amesahau uraiani. Waafrika shidaaaaaaaaaaaaaaaa
Hata kuandika kiswahili fasaha huweziharudishe pesa za WAMA wanalia kule
swissme
harudishe=arudisheharudishe pesa za WAMA wanalia kule
swissme
Hatujaridhika kwa 100% mpaka atakapowatumbua wale mafisadi papa wa ccm ambao bado wanaachwa.Kwahiyo majipu anayotumbua Magufuli bado hamjaridhika nayo?
Acha ulofa ,mwizi hawezi kutumbua wezi wenzake.Ni kweli kabisa kwasababu angekuwa Rais angetumbua majipu yaliyoiva huko na mpaka sasahivi hayatumbuliwi.
Huyo ni first lady mjomba ameishi maisha ya luxury muda mrefu sana huwezi mfananisha na shangazi yangu wa ifakara watoto wa3 tu utafikiri bibi wa miaka 70.Kumbe huyu mama kazaa watoto tisa??
Mbona bado anaonekana "mbichi"......??
HahahahaNaona Wana akili zinazofanana na msela wake jk, wote Wamejaaliwa ukwapuaji
Jipu la katikati ni MboweM
Magu anatumbua chunusi pembeni ila majipu yaliopo kati kati wala hayagusi....
au labda atatafuta mlango wa kuingilia..
Kwahiyo yule wa bill 73 za ESROW mnamshuhulikiaje?Acha ulofa ,mwizi hawezi kutumbua wezi wenzake.