Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Escrow and Richmond wote wafikiwa. JPM ni mkono Wa chumaKwahiyo yule wa bill 73 za ESROW mnamshuhulikiaje?
Mimi nimeuliza tu Mzee wa Billion 73 za ESCROW ameshuhulikiwaje?Escrow and Richmond wote wafikiwa. JPM ni mkono Wa chuma
AtashugulikiwaMimi nimeuliza tu Mzee wa Billion 73 za ESCROW ameshuhulikiwaje?
Hahaha...ngoja tuone, akishuhulikiwa waaallah UKAWA nzima itaamia ccm.Atashugulikiwa
Mpaka sasa hamna UKAWA kuna UKIWAHahaha...ngoja tuone, akishuhulikiwa waaallah UKAWA nzima itaamia ccm.
Endelea kujitekenya....hujui kuwa ccm inatumia SERA ZA UKAWA? Hahahaha.Mpaka sasa hamna UKAWA kuna UKIWA
Sera ya ukawa ni kuzungusha mikono.Endelea kujitekenya....hujui kuwa ccm inatumia SERA ZA UKAWA? Hahahaha.
Huwa hamtaki kukubali ila lumumbaz wengine wameshakiri kuwa ccm inatumia sera za Upinzani. Teh teh teh....Sera ya ukawa ni kuzungusha mikono.
Sera ya ccm ni kutumbua majipu
Jipu la katikati ni Mbowe
Hii familia ina amani sana kwa kweli baada ya Lowasa kukosa Urais
kwani babu seya, ana uhusiano na hii thread?Hivi Babu Seya bado yupo jela?
Sasa mbona hamuungi mkono seta zenu kwanini mnazipinga? Mfano la Bunge kuwa live.Endelea kujitekenya....hujui kuwa ccm inatumia SERA ZA UKAWA? Hahahaha.
Mbona mnawatetea wanaotumbuliwa kama sera ni zenu? Mbona mnalialia juu ya sukari wakati sera ni yenu nyie watu vipi?Huwa hamtaki kukubali ila lumumbaz wengine wameshakiri kuwa ccm inatumia sera za Upinzani. Teh teh teh....
Kama nani?Hatujaridhika kwa 100% mpaka atakapowatumbua wale mafisadi papa wa ccm ambao bado wanaachwa.
Jipu moja wapo si Lowasa mbona hamlalamiki limeachwa.M
Magu anatumbua chunusi pembeni ila majipu yaliopo kati kati wala hayagusi....
au labda atatafuta mlango wa kuingilia..
Ikulu napo kuna Quarters piaEti maisha ya "uraiani" kwani alikuwa anaishi kambini au police line?
Usijali mkuu Lowasa analiwa timing atatumbuliwa tuNi kweli kabisa kwasababu angekuwa Rais angetumbua majipu yaliyoiva huko na mpaka sasahivi hayatumbuliwi.