Mama Salma Kikwete afunguka maisha yake ya uraiani

Jipu moja wapo si Lowasa mbona hamlalamiki limeachwa.

Lowasa ni Moja kati ya hayo majipu makubwa, kumtumbua huyo ni kazi maana hiyo ni kama chain....
Na ndo mana nikasema labda anatafuta mlango.
 
Sasa mbona hamuungi mkono seta zenu kwanini mnazipinga? Mfano la Bunge kuwa live.
Seta ndio nini?

CCM inaongoza nchi kwa kutekeleza sera za UKAWA ila hawataki kuliweka wazi hilo.
 
Hongera mama Salima kwa ujasili ulionao kwa kumsapot mzee Jakaya kikamili bila woga wew ni zaid ya fisrt lady na huyo mwanao wala usishangae amarisi mikoba mapema mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…