Kwanza CCM kumruhusu huyu mama kupiga kampeni ilikuwa kosa kubwa, kwanza yeye ni nani na amefanya nini katika taifa hili mpaka asimame mbele za wananchi kuinadi CCM na Mumewe?
Ala! Kumbe inawezekana kumfanyia hivi First lady... subiri sasa na wengine wasikie, atakoma kuanzia sasa kwenye ziara zake maana wanawake wameshagundua njia ya kumkomesha