Elections 2010 Mama Salma Kikwete alalamikia kuonyeshwa alama ya CHADEMA

Elections 2010 Mama Salma Kikwete alalamikia kuonyeshwa alama ya CHADEMA

Kwanza CCM kumruhusu huyu mama kupiga kampeni ilikuwa kosa kubwa, kwanza yeye ni nani na amefanya nini katika taifa hili mpaka asimame mbele za wananchi kuinadi CCM na Mumewe?

kweli mkuu hapo anapigania ajira ya mumewe tu wala hana lolote,
 
Adela Rudi Darasani, haha siasa mwachie mmeo wewe huweziiiiiiii
 
Ala! Kumbe inawezekana kumfanyia hivi First lady... subiri sasa na wengine wasikie, atakoma kuanzia sasa kwenye ziara zake maana wanawake wameshagundua njia ya kumkomesha
 
tutaendelea kukupa kichefuchefu wewe mke wa fisadi na siku zako zinakaribia. acha ujuha wako
 
hizo ni hasira za kukosa uchifu.Alitaka apewe uchifu kama mumewe na mwanawe.
 
Back
Top Bottom