Pole Mama Salma, mungu atakulinda na majanga yote.
"Ila cha kujifunza hapa ni kwamba maisha ya binadamu yoyote yule ni muhimu kuyalinda bila kujali nafasi yake kwani hilo ni Jukumu mama la serikali yoyote kuhakikisha usalama wa Raia wake, Matukio kama haya yapo mengi sana kila siku nchi nzima, daladala kuchomekeana wao kwa wao pamoja kuchomekea magari mengine, barabara mbovu, madereva wanapata leseni kwa rushwa badala ya qualifications" - Umefika wakati sasa kuwalinda Raia wote na ajali zinazoweza kuzuilika, Nina hakika kama vyombo vya habari vingekuwa vinatangaza matukio yote ya aina hii ya msafara wa FL basi 24hour hazitoshi. Law enforcement agents waache longolongo na Rushwa wafanye Kazi yao"
..Ukipenda muite mama Halfan au Mama Rashid kama humtaki ridh...ingawa kweli sio mamaye wa damu.Hivi ni mama Ridh ee?
Imagine kwa Zuma...five of them...inabidi siku nzima ukae kwenye foleni...luckily ni south africa miundombinu si haba
Simuombei mabaya ila lingegonga walau kidogo gari ya mama japo viongozi wetu wangeamka maana raia wa kawaida wanapoteza sna uhai!!!
anapewa ulinzi kama FL1 wa nchi ...na si vibayaKwani naye amekuwa kiongozi wa serikali mpaka apewe uongozi wa traffick hizo taratibu zinazokiukwa kumfanya mke wa Raisi naye Raisi zingemponza manake angejikuta anagongwa na kuumia,vipi anapita mikoani anatowa maagizo utafikiri waziri au Raisi aw Waziri Mkuu,kama yeye anaangalia hali ya hewa ya chama chake na mumewe anavyokubalika asipotezee watu wengine muda wakujitafutia Riziki zao.
anapewa ulinzi kama FL1 wa nchi ...na si vibaya
kuanzia leo (March 26) kuelekea mwezi wa nne, tuwaombee viongozi wetu hasa wale wanaopanga kugombea nafasi mbalimbali. Tusije tukapata mshtuko wa kupoteza mtu maarufu au mwanasiasa maarufu katika ajali hasa ndani ya wiki hizi zinazokuja hadi mwishoni mwa mwezi wa nne. Tumpigie Baba magoti atuepushe na mshtuko wa kitaifa kwani machozi yamedondoka.
Kule kwenye saiti yangu niliandika hivi tarehe 26 na bado naamini tutakuwa na ajali kubwa ya kiongozi fulani.. isipokuwa kama tutawakinga kwa maombi:
Kule kwenye saiti yangu niliandika hivi tarehe 26 na bado naamini tutakuwa na ajali kubwa ya kiongozi fulani.. isipokuwa kama tutawakinga kwa maombi:
Kule kwenye saiti yangu niliandika hivi tarehe 26 na bado naamini tutakuwa na ajali kubwa ya kiongozi fulani.. isipokuwa kama tutawakinga kwa maombi:
Pole mama rais alikuwa taarime?Taarime kwa magendo mpaka wanataka kumgonga mke wa mkulu.Na Jukwaaa lililo tengenezwa kwa ajiri ya kuhutubia hawa wababe wa taarime wamelivunja...habari ambazo sio rasmi walikuwa wanataka ahutubie...wamzomee...lakini hao askari walivyo wengi naona na ubabe wao wameogopa..Kipigo.
hivi kuna wilaya mpya (ya taarime) imeanzishwa Tanzania?