KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
kabisaHalafu seat ya mbele kabisa pembeni ya dereva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaHalafu seat ya mbele kabisa pembeni ya dereva
LohHawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.
Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.
Salma Kikwete nae kasifu Januari Makamba hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu Januari na Maharage Chande.
Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.
Povu ruksa.
Lete mawaziri wa kwako wewe wenye uwezo kuliko hao. Kazi ya kukosoa na kukashifu uliyoamua kuifanya ni nyepesi sana.Kuna hawa mapoyoyo wanne Ummy Mwalimu, Hussein Bashe, Mwigulu Nchema na January Makamba.
Ni watanzania tu ndio wanaweza ona watu wa maana, ila kwengine ni watu waliopewa wizara sensitive sana halafu wenyewe uwezo wao mdogo sana.
Hawakupigiwa kura bali walipeana nafasi walivyotaka.ccm sio wajinga, ili wanabehave kipum**vu kwasababu wanajua wapiga kura nao ni wapu***vu.. excuse the language.
Kuna watanzania wameamua kuishi na machungu mioyoni hawa ni wa kuwaacha tu.kuna watu wanadhan ukiwa Mke wa Rais Mstaafu huna haki ya kuwa na maoni binfasi
Automatically inakuwa hivyo kama atakuwa upande wa wezi yaani washika madaraka ila kama atakuwa upande wa raia na kuwatetea kila mtu atataka kumsikiliza.kuna watu wanadhan ukiwa Mke wa Rais Mstaafu huna haki ya kuwa na maoni binfasi
Unafiki wa nini wakati katika nchi hii hili lilianzishwa na mwalimu Nyerere?Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.
Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.
Salma Kikwete nae kasifu Januari Makamba hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu Januari na Maharage Chande.
Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.
Povu ruksa.
Hawa ndio watu wanaowasifia.
Mwakani unamaliza mradi ambao unakidhi mahitaji ya nchi kwenye umeme tena wa bei nafuu.
Halafu mwaka huo huo unaingia kwenye mkataba mwingine wa kununua umeme wa jua kutoka kwa mwekezaji ambae unamuwekea na bank guarantee juu ya kununua huo umeme.
Sasa hiyo surplus unaipeleka wapi na lazima ununue huo umeme vinginevyo sio mwekezaji tu, ata hiyo bank iliyotoa mkopo inaweza kukufungulia kesi ya madai. Yaleyale ya IPTL na standard charter; mgogoro wa madeni unaishia kuiburuza serikali mahakamani ambayo aihusiki na huo mkopo.
Huko sasa ndio kuchezea hela za mapato ya shirika, so unnecessary expenditures; halafu kuna watu wanasifia huo uwekezaji wa kiupuuzi.
Mambo mengine yanawezekana Tanzania.
Kama wako madarakani kwa wizi wa kura, ndio wataogopa kula rushwa? Kama hiyo mamlaka ni kuanguka ilitakiwa ianguke kwa kuwa madarakani kwa wizi wa uchaguzi.rushwa hupofusha mambo.rushwa huangusha mamlaka.
Misemo ipo mingi na inabeba maana moja. Kuimba ni kupokezana na upo mwingine unasema riziki ya mwenzio usiilalie mlango wazi.Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.
Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.
Salma Kikwete nae kasifu Januari Makamba hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu Januari na Maharage Chande.
Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.
Povu ruksa.
Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.
Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.
Salma Kikwete nae kasifu Januari Makamba hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu Januari na Maharage Chande.
Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.
Povu ruksa.
Hawa ndio watu wanaowasifia.
Mwakani unamaliza mradi ambao unakidhi mahitaji ya nchi kwenye umeme tena wa bei nafuu.
Halafu mwaka huo huo unaingia kwenye mkataba mwingine wa kununua umeme wa jua kutoka kwa mwekezaji ambae unamuwekea na bank guarantee juu ya kununua huo umeme.
Sasa hiyo surplus unaipeleka wapi na lazima ununue huo umeme vinginevyo sio mwekezaji tu, ata hiyo bank iliyotoa mkopo inaweza kukufungulia kesi ya madai. Yaleyale ya IPTL na standard charter; mgogoro wa madeni unaishia kuiburuza serikali mahakamani ambayo aihusiki na huo mkopo.
Huko sasa ndio kuchezea hela za mapato ya shirika, so unnecessary expenditures; halafu kuna watu wanasifia huo uwekezaji wa
kiupuuzi.
Mambo mengine yanawezekana Tanzania.
Unataka kusema hii serikalii imekuwa na wahuni kuliko ile ya Makonda, Sabaya na Wasiojulikana?
Wezi tu hawa kina makamba. Wanakimbilia mikataba ya upigaji wakati tunasubiri umeme wa nafuu wa hydro. Maharage nae ameshaanza kuchomekea kwa kusema eti kupunguza bei ya umeme si busara. Anaandaa watu kisaikolojia wakati jpm aliapiza umeme lazima ushuke.
Wahuni ni watu wabaya sana. Ulaya na marekani unit ni kama usd 0.02. tanzania tunalipa zaidi ya usd 0.22. Hapo wawekezaji utawahamasisha vipi kwa umeme wa gharama kiasi hivyo.
Au wananchi watawezaje kutumia umeme kwa maendeleo yao kwa wingi kama umeme wenyewe ghali kuliko kote duniani.
Wao wanafikiri upigaji tu ndio wanakaribisha umeme za kipigaji na kuwapa guarantee ya tanesco kununua kwa bei mbaya wakijua wako na cha juu au wameshafungiwa chao mapema.