Mama Salma Kikwete kumsifia Januari Makamba kuhusu bwawa la Nyerere ni unafiki

Loh
Yaani nchi irudi tena kwa washamba nyie!! Never, msahau...
 
Huyo mama hamnaga kitu usimchukulie serious, ni mfumo tu unambeba!.
 
Kuna hawa mapoyoyo wanne Ummy Mwalimu, Hussein Bashe, Mwigulu Nchema na January Makamba.

Ni watanzania tu ndio wanaweza ona watu wa maana, ila kwengine ni watu waliopewa wizara sensitive sana halafu wenyewe uwezo wao mdogo sana.
Lete mawaziri wa kwako wewe wenye uwezo kuliko hao. Kazi ya kukosoa na kukashifu uliyoamua kuifanya ni nyepesi sana.
 
kuna watu wanadhan ukiwa Mke wa Rais Mstaafu huna haki ya kuwa na maoni binfasi
Automatically inakuwa hivyo kama atakuwa upande wa wezi yaani washika madaraka ila kama atakuwa upande wa raia na kuwatetea kila mtu atataka kumsikiliza.
 
Unafiki wa nini wakati katika nchi hii hili lilianzishwa na mwalimu Nyerere?
Nyie si mnamsifu kuwa kaleta umoja na mshikamano na kama si yeye tungegawanyika?
Makabila mangapi tulipata uhuru yakiwa ni maadui na Nyerere akayapatanisha?
Tangu ukoloni wa waarabu na wazungu watu walikuwa wamoja yaani Muha analima mkonge Tanga wakati kwao ni Kigoma wala hutukusikia vita popote.
Sisi tunamsifia aliyekuwepo hivyo bila January tusingepata hilo bwawa hongera sana mhe. January.
 
Wezi tu. Tulikua tunaongelea kuuza umeme nje baada ya bwawa la nyerere. Sasa hawa kuingia mikataba ya aina hiyo ya iptl ni hujuma ya wazi kwa nchi. Jk alituingiza iptl vijana wao makamba na maharage wanatuletea iptl zingine. Msisahau iptl ya singa na yule mzee wa kihaya ilivyosumbua taifa kwa mikesi kwa miaka zaidi ya 30 na kuibia tanesco mabilioni na kusababisha hasara nyingi kwa taifa.
 
rushwa hupofusha mambo.rushwa huangusha mamlaka.
Kama wako madarakani kwa wizi wa kura, ndio wataogopa kula rushwa? Kama hiyo mamlaka ni kuanguka ilitakiwa ianguke kwa kuwa madarakani kwa wizi wa uchaguzi.
 
Misemo ipo mingi na inabeba maana moja. Kuimba ni kupokezana na upo mwingine unasema riziki ya mwenzio usiilalie mlango wazi.

Ukiwa mwanafunzi wa madarasa ya awali ya shule ya msingi huwezi kuelewa maana ya misemo hii, ukishakua mtu mzima unapata mifano hai kwa kadri ya uwezo wako wa kufikiria unavyokuwa umeshapanuka.
 

Wanaacha kuwashukuru wana JF kwa kusimama kidete kulilinda bwawa la Nyerere kwa nguvu zote. Huyu January alitaka kuhujumu kila kitu kilichoanzishwa na JPM, lakini Mwenyezi Mungu akawa upande wa waTanzania.
 

Hizi ppa ndiyo tunazozikataaga. Zinatumika kama kichaka cha wahalifu. Yale ya iptl, songas, symbion, nk yanaanza kuja kwa kasi. Naona inawauma sana kuona bwawa la Mwalimu Nyerere hawajaweka mirija yao kwa kushirikiana na mabeberu.
 

Umenena vyema, umeme wa bei nafuu ni rafiki wa:
1. Uwekezaji. Maana gharama za uzalishaji zitapungua.
2. Mazingira, maana watanzania wengi wataachana na nishati ambazo si rafiki kwa mazingira.
Faida ni nyingi, lkn ngoja itoshe kusema hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…