Mama Samia aliposema tushikamane ni muda sasa wa Watanzania waishio nje ya nchi kurudi kuijenga nchi yetu

Mama Samia aliposema tushikamane ni muda sasa wa Watanzania waishio nje ya nchi kurudi kuijenga nchi yetu

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,421
Mshikamano huu si kwa walio nchini tu bali wale wote wanaoishi nchi za nje bila kupenda.

Kama kuna Mtanzania yeyote aliikimbia nchi, naomba arudi 'tushikamane' tujenge nchi yetu.

Kama kuna mfanyabiashara yeyote alihamishia biashara yake nje ya nchi, naomba arudi 'tushikamane' tuijenge Tanzania bila kujali anatokea wapi.

Kama kuna mtu yeyote alifunga biashara, naomba aifungue na kama kuna mtumishi yeyote alikuwa anafanya kazi 'ilimradi' basi afanye kazi kwa kujituma.

TANZANIAIS HERE TO STAY Lakini sisi bianadamu tunapita tu, makazi yetu ya kudumu ni Mbinguni/Akhera
 
Mama ni lazima kwanza awanyoshee mkono wa amani na maridhiano hao watu uliowataja, halafu wao ndio wataamua.
 
Back
Top Bottom