Mama samia aongeza motisha kila goli million 10

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Simba ambayo ina uongozi wa 1-0 kutoka mchezo wa kwanza leo Aprili 28 inarudiana na Wydad Casablanca ya nchini Morocco wakati Yanga yenye uongozi wa 2-0 ikitarajiwa kurudiana na Rivers United ya Nigeria katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam siku ya Jumapili.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anazitakia kila la kheri Simba na Yanga na amewataka wachezaji kujituma uwanjani na kutumia maarifa yao yote kuhakikisha wanashinda michezo ya kukamilisha robo fainali ili wafanikiwe kuingia nusu fainali ambapo kila goli litakuwa shilingi Milioni 10.

Aidha, Msigwa amesema magoli yatakayolipiwa shilingi Milioni 10 ni yale yatakayofungwa katika dakika 90 za mchezo au dakika 120 na sio magoli ya penati.
 
Safii
 
Mfano babu Onyango akiweka kambali golini kwake si zina hesabika 10 au.......?
 
Mama ajui anatakiwa ajulishwe thamani ya cafcl na cafcc ni tofauti.

hata viwete wanaweza kubeba ubingwa wa cafcc kwasababu ni michuano ya vilaza.

ni kosa mama Samia kutoa motisha sawa kwenye michuano ya timu bora Africa(caf chamlions league)na michuano ya vilaza cafcc.
 
Pamoja na kuloga kuharibu viwanja vya watu kufukia madawa yenu na kupigwa faini vipi mlichukua ilo kombe la vilema?
 
Mama ajui anatakiwa ajulishwe thamani ya cafcl na cafcc ni tofauti.

hata viwete wanaweza kubeba ubingwa wa cafcc kwasababu ni michuano ya vilaza.

ni kosa mama Samia kutoa motisha sawa kwenye michuano ya timu bora Africa(caf chamlions league)na michuano ya vilaza cafcc.
Leo ndio mechi ya mwisho, mnarudi kupigania nafasi ya pili kwenye ligi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Simba ambayo ina uongozi wa 1-0 kutoka mchezo wa kwanza leo Aprili 28 inarudiana na Wydad Casablanca ya nchini Morocco wakati Yanga yenye uongozi wa 2-0 ikitarajiwa kurudiana na Rivers United ya Nigeria katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam siku ya Jumapili.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anazitakia kila la kheri Simba na Yanga na amewataka wachezaji kujituma uwanjani na kutumia maarifa yao yote kuhakikisha wanashinda michezo ya kukamilisha robo fainali ili wafanikiwe kuingia nusu fainali ambapo kila goli litakuwa shilingi Milioni 10.

Aidha, Msigwa amesema magoli yatakayolipiwa shilingi Milioni 10 ni yale yatakayofungwa katika dakika 90 za mchezo au dakika 120 na sio magoli ya penati.
Sawa
 
Ok
FuzX4SfXwAAslsm.jpg
 
Nchi ngumu sana hii,yaani polimilai mpaka ikulu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wanataka teaching allowance huko dah
 
Mama ajui anatakiwa ajulishwe thamani ya cafcl na cafcc ni tofauti.

hata viwete wanaweza kubeba ubingwa wa cafcc kwasababu ni michuano ya vilaza.

ni kosa mama Samia kutoa motisha sawa kwenye michuano ya timu bora Africa(caf chamlions league)na michuano ya vilaza cafcc.
Acha ubaguzi na hautakufikisha popote
 
Back
Top Bottom