Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Kwa Tanzania hi na watanzania hawa hamna jipya kufika December mwaka hu stori zitakua zingine sio siasa tena, na kwa magufuri walisema hivo hivo ila mbona watu walinyooka na kuanza kumpenda.Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano tu – hiyo haijawahi kufanikiwa kokote. Sababu ya nature ya watanzania kutoka kwenye maandamano huwa hawatoki
Na tukubali tu, mfumo wa urais wa Tanzania ulivyotengenezwa, Rais ana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote – ndani ya chama na hata nje. Hivyo hata kama kuna upinzani ndani ya chama, bado yupo juu kwa game.
Sasa mama 2025 akishapita, ukweli ni kwamba ataongoza nchi akiwa na approval rate ya chini sana – pengine hata 30% tu. Yaani wengi hawatakuwa na imani naye, ila watakuwa tu wanamsikiliza sababu hana wa kumpinga kiuhalisia. Pia kuogopa kutekwa na kupotezwa
Na kumbuka, akishajua kesho hawezi kuondolewa madarakani, ataanza kufanya mambo kwa spidi yake – bila hofu. Mambo kama kumpendelea Zanzibar au watu wake wa karibu yataongezeka mara mbili. Wale aliowateua nao watachukua hela kama hawajawahi kuziona, maana wanajua 2030 wanaondoka wote – hakuna cha second term wala nini.
Hapo ndipo CCM itaanza kuumia taratibu. Maana wananchi wengi watakuwa wameshachoka na utawala wa Mama, na mgombea wao wa 2030 atakutana na ukuta kila mtu hataki ccm. Ni kama ilivyotokea 2015 – watu walishachoka na CCM, Magufuli akaja kuwa kama pumzi mpya ikarudi kwenye game ccm hata kuvaa tshirt zao watu walikuwa wanazomea. Lakini safari hii hakuna Magufuli wa kuisafisha chama – so CCM inaweza kuvurugika vibaya. Sababu ya mambo yanaoendelea
Kwa hiyo kusema eti kuna mtu atamtoa Mama Samia madarakani 2025 – hiyo ni ndoto ya mchana. Lakini tukubaliane, CCM wanakutana na balaa kubwa 2030.
Watu watakuwa wamechoka, wamepoteza matumaini, na hawataki tena kusikia hadithi za maendeleo kwenye karatasi.
NA wote tuseme amen😀😀😀😀Mimi nawaambia hatokuwa Rais na huu ndo muhula wake wa Mwisho endeleeni kubisha
Magufuli style yke ya uongozi tofauti na maza mkuuKwa Tanzania hi na watanzania hao, hamna jipya kufika December mwakao stori zitakua zingine sio siasa tena, na kwa magufuri walisema hivo ila mbona watu waslinyooka na kuanza kumpenda.
Ndoto za mchana hizo mkuuMimi nawaambia hatokuwa Rais na huu ndo muhula wake wa Mwisho endeleeni kubisha
Uko sahihi. Yeye alikuwa mgombea mwenza wa Mwendazake. 2015~2025 miaka 10 ya 2 terms of 5 years each. 2021-2025 kama Mwendazake angelikuwa hai wangelikuwa wanamaliza awamu ya 5.Mimi nawaambia hatokuwa Rais na huu ndo muhula wake wa Mwisho endeleeni kubisha
6th sense - she will never become a presidentUko sahihi. Yeye alikuwa mgombea mwenza wa Mwendazake. 2015~2025 miaka 10 ya 2 terms of 5 years each. 2021-2025 kama Mwendazake angelikuwa hai wangelikuwa wanamaliza awamu ya 5.
Kilichotakiwa baada ya Magu ku-rest in peace March 2021, mama angezba pengo na kumalizia awamu ya 5 akaachia wana CCM wengine kuanza upya 6th Term.
Lakn sikio la kufa haliskii dawa. Ngoma imepasuka halisikii dawa. Mungu ameruhusu dhoruba ya baharini iwavurumishe na chombo kwenda mrema na kuzama.
HahahahaNdoto za mchana hizo mkuu
Tatizo lake anawabeba wezi na matapeli ndio wamekuwa watu wake wa karibuIkitokea akapewa muhula wa pili sioni akimaliza muda.
Sijui namna atakavyoachia hiyo nafasi huko mbele, ila huyu mama ni ‘bitter taste’ kwa watanzania aijawahi tokea kiongozi kutokubalika hivi ndani ya muda mfupi.
Miaka mitano tena sioni watanzania wakimvumilia mpaka mwisho.
Time will tell
Akiwa rais nakuahidi naenda kubadilisha jinsiaMwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano tu – hiyo haijawahi kufanikiwa kokote. Sababu ya nature ya watanzania kutoka kwenye maandamano huwa hawatoki
Na tukubali tu, mfumo wa urais wa Tanzania ulivyotengenezwa, Rais ana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote – ndani ya chama na hata nje. Hivyo hata kama kuna upinzani ndani ya chama, bado yupo juu kwa game.
Sasa mama 2025 akishapita, ukweli ni kwamba ataongoza nchi akiwa na approval rate ya chini sana – pengine hata 30% tu. Yaani wengi hawatakuwa na imani naye, ila watakuwa tu wanamsikiliza sababu hana wa kumpinga kiuhalisia. Pia kuogopa kutekwa na kupotezwa
Na kumbuka, 2025 to 2030 ndo term yake ya mwisho hana cha kuogopa mbele, ataanza kufanya mambo kwa spidi yake – bila hofu. Mambo kama kupendelea Zanzibar au watu wake wa karibu yataongezeka mara mbili. Wale aliowateua nao watachukua hela kama hawajawahi kuziona, maana wanajua 2030 wanaondoka wote – hakuna cha second term wala nini.
Hapo ndipo CCM itaanza kuumia taratibu. Maana wananchi wengi watakuwa wameshachoka na utawala wa Mama, na mgombea wao wa 2030 atakutana na ukuta kila mtu hataki ccm. Ni kama ilivyotokea 2015 – watu walishachoka na CCM, Magufuli akaja kuwa kama pumzi mpya ikarudi kwenye game ccm hata kuvaa tshirt zao watu walikuwa wanazomea. Lakini safari hii hakuna Magufuli wa kuisafisha chama – so CCM inaweza kuvurugika vibaya. Sababu ya mambo yanaoendelea
Kwa hiyo kusema eti kuna mtu atamtoa Mama Samia madarakani 2025 – hiyo ni ndoto ya mchana. Lakini tukubaliane, CCM wanakutana na balaa kubwa 2030.
Watu watakuwa wamechoka, wamepoteza matumaini, na hawataki tena kusikia hadithi za maendeleo kwenye karatasi.
Walianza kumpenda, kwa uchaguzi ule wa 2020 unawezaje kupima hiki usemacho?Kwa Tanzania hi na watanzania hao, hamna jipya kufika December mwakao stori zitakua zingine sio siasa tena, na kwa magufuri walisema hivo ila mbona watu waslinyooka na kuanza kumpenda.
tuambie Rais atakuwa nani? au Polepole.Mimi nawaambia hatokuwa Rais na huu ndo muhula wake wa Mwisho endeleeni kubisha
Kila Rais ana style yake.Magufuli style yke ya uongozi tofauti na maza mkuu
Kwa hiyo wananchi wakichoka na wakipoteza matumaini ndiyo watafanya nini?Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano tu – hiyo haijawahi kufanikiwa kokote. Sababu ya nature ya watanzania kutoka kwenye maandamano huwa hawatoki
Na tukubali tu, mfumo wa urais wa Tanzania ulivyotengenezwa, Rais ana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote – ndani ya chama na hata nje. Hivyo hata kama kuna upinzani ndani ya chama, bado yupo juu kwa game.
Sasa mama 2025 akishapita, ukweli ni kwamba ataongoza nchi akiwa na approval rate ya chini sana – pengine hata 30% tu. Yaani wengi hawatakuwa na imani naye, ila watakuwa tu wanamsikiliza sababu hana wa kumpinga kiuhalisia. Pia kuogopa kutekwa na kupotezwa
Na kumbuka, 2025 to 2030 ndo term yake ya mwisho hana cha kuogopa mbele, ataanza kufanya mambo kwa spidi yake – bila hofu. Mambo kama kupendelea Zanzibar au watu wake wa karibu yataongezeka mara mbili. Wale aliowateua nao watachukua hela kama hawajawahi kuziona, maana wanajua 2030 wanaondoka wote – hakuna cha second term wala nini.
Hapo ndipo CCM itaanza kuumia taratibu. Maana wananchi wengi watakuwa wameshachoka na utawala wa Mama, na mgombea wao wa 2030 atakutana na ukuta kila mtu hataki ccm. Ni kama ilivyotokea 2015 – watu walishachoka na CCM, Magufuli akaja kuwa kama pumzi mpya ikarudi kwenye game ccm hata kuvaa tshirt zao watu walikuwa wanazomea. Lakini safari hii hakuna Magufuli wa kuisafisha chama – so CCM inaweza kuvurugika vibaya. Sababu ya mambo yanaoendelea
Kwa hiyo kusema eti kuna mtu atamtoa Mama Samia madarakani 2025 – hiyo ni ndoto ya mchana. Lakini tukubaliane, CCM wanakutana na balaa kubwa 2030.
Watu watakuwa wamechoka, wamepoteza matumaini, na hawataki tena kusikia hadithi za maendeleo kwenye karatasi.
LISSU atakuwa Rais. Ni suala la muda tu.🇹🇿✍️Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano tu – hiyo haijawahi kufanikiwa kokote. Sababu ya nature ya watanzania kutoka kwenye maandamano huwa hawatoki
Na tukubali tu, mfumo wa urais wa Tanzania ulivyotengenezwa, Rais ana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote – ndani ya chama na hata nje. Hivyo hata kama kuna upinzani ndani ya chama, bado yupo juu kwa game.
Sasa mama 2025 akishapita, ukweli ni kwamba ataongoza nchi akiwa na approval rate ya chini sana – pengine hata 30% tu. Yaani wengi hawatakuwa na imani naye, ila watakuwa tu wanamsikiliza sababu hana wa kumpinga kiuhalisia. Pia kuogopa kutekwa na kupotezwa
Na kumbuka, 2025 to 2030 ndo term yake ya mwisho hana cha kuogopa mbele, ataanza kufanya mambo kwa spidi yake – bila hofu. Mambo kama kupendelea Zanzibar au watu wake wa karibu yataongezeka mara mbili. Wale aliowateua nao watachukua hela kama hawajawahi kuziona, maana wanajua 2030 wanaondoka wote – hakuna cha second term wala nini.
Hapo ndipo CCM itaanza kuumia taratibu. Maana wananchi wengi watakuwa wameshachoka na utawala wa Mama, na mgombea wao wa 2030 atakutana na ukuta kila mtu hataki ccm. Ni kama ilivyotokea 2015 – watu walishachoka na CCM, Magufuli akaja kuwa kama pumzi mpya ikarudi kwenye game ccm hata kuvaa tshirt zao watu walikuwa wanazomea. Lakini safari hii hakuna Magufuli wa kuisafisha chama – so CCM inaweza kuvurugika vibaya. Sababu ya mambo yanaoendelea
Kwa hiyo kusema eti kuna mtu atamtoa Mama Samia madarakani 2025 – hiyo ni ndoto ya mchana. Lakini tukubaliane, CCM wanakutana na balaa kubwa 2030.
Watu watakuwa wamechoka, wamepoteza matumaini, na hawataki tena kusikia hadithi za maendeleo kwenye karatasi.
Mawazo yako siyo msimamo wa watanzaniaMwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano tu – hiyo haijawahi kufanikiwa kokote. Sababu ya nature ya watanzania kutoka kwenye maandamano huwa hawatoki
Na tukubali tu, mfumo wa urais wa Tanzania ulivyotengenezwa, Rais ana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote – ndani ya chama na hata nje. Hivyo hata kama kuna upinzani ndani ya chama, bado yupo juu kwa game.
Sasa mama 2025 akishapita, ukweli ni kwamba ataongoza nchi akiwa na approval rate ya chini sana – pengine hata 30% tu. Yaani wengi hawatakuwa na imani naye, ila watakuwa tu wanamsikiliza sababu hana wa kumpinga kiuhalisia. Pia kuogopa kutekwa na kupotezwa
Na kumbuka, 2025 to 2030 ndo term yake ya mwisho hana cha kuogopa mbele, ataanza kufanya mambo kwa spidi yake – bila hofu. Mambo kama kupendelea Zanzibar au watu wake wa karibu yataongezeka mara mbili. Wale aliowateua nao watachukua hela kama hawajawahi kuziona, maana wanajua 2030 wanaondoka wote – hakuna cha second term wala nini.
Hapo ndipo CCM itaanza kuumia taratibu. Maana wananchi wengi watakuwa wameshachoka na utawala wa Mama, na mgombea wao wa 2030 atakutana na ukuta kila mtu hataki ccm. Ni kama ilivyotokea 2015 – watu walishachoka na CCM, Magufuli akaja kuwa kama pumzi mpya ikarudi kwenye game ccm hata kuvaa tshirt zao watu walikuwa wanazomea. Lakini safari hii hakuna Magufuli wa kuisafisha chama – so CCM inaweza kuvurugika vibaya. Sababu ya mambo yanaoendelea
Kwa hiyo kusema eti kuna mtu atamtoa Mama Samia madarakani 2025 – hiyo ni ndoto ya mchana. Lakini tukubaliane, CCM wanakutana na balaa kubwa 2030.
Watu watakuwa wamechoka, wamepoteza matumaini, na hawataki tena kusikia hadithi za maendeleo kwenye karatasi.
SawaLISSU atakuwa Rais. Ni suala la muda tu.🇹🇿✍️