GE2025 Mama Samia Atapita Tu 2025, Lakini CCM Italipa Gharama 2030

GE2025 Mama Samia Atapita Tu 2025, Lakini CCM Italipa Gharama 2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katibiwe, ratiba na siku ya uchaguzi imeshatangazwa

GwrsqPkXIAAUrBi.jpg
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Nchi haina wazee, wala congress la kumdhibiti kiongozi ambaye hayupo kwa maslahi ya nchi na wananchi. Wamebaki kunungunika tu, kama vile mambo yapo sawa.
 
Watachukua hatua gani Mkuu!?
Hatua gani watachukua hilo sijui.

Lililo wazi leo nchi ipo kwenye ‘uncharted waters’ na unaona kabisa huyu mama ni time bomb ambae simuoni akimaliza muhula.

Too much resentment dhidi yake katika jamii.
 
Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.

Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano tu – hiyo haijawahi kufanikiwa kokote. Sababu ya nature ya watanzania kutoka kwenye maandamano huwa hawatoki

Na tukubali tu, mfumo wa urais wa Tanzania ulivyotengenezwa, Rais ana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote – ndani ya chama na hata nje. Hivyo hata kama kuna upinzani ndani ya chama, bado yupo juu kwa game.

Sasa mama 2025 akishapita, ukweli ni kwamba ataongoza nchi akiwa na approval rate ya chini sana – pengine hata 30% tu. Yaani wengi hawatakuwa na imani naye, ila watakuwa tu wanamsikiliza sababu hana wa kumpinga kiuhalisia. Pia kuogopa kutekwa na kupotezwa

Na kumbuka, 2025 to 2030 ndo term yake ya mwisho hana cha kuogopa mbele, ataanza kufanya mambo kwa spidi yake – bila hofu. Mambo kama kupendelea Zanzibar au watu wake wa karibu yataongezeka mara mbili. Wale aliowateua nao watachukua hela kama hawajawahi kuziona, maana wanajua 2030 wanaondoka wote – hakuna cha second term wala nini.

Hapo ndipo CCM itaanza kuumia taratibu. Maana wananchi wengi watakuwa wameshachoka na utawala wa Mama, na mgombea wao wa 2030 atakutana na ukuta kila mtu hataki CCM. Ni kama ilivyotokea 2015 – watu walishachoka na CCM, Magufuli akaja kuwa kama pumzi mpya ikarudi kwenye game CCM hata kuvaa tshirt zao watu walikuwa wanazomea. Lakini safari hii hakuna Magufuli wa kuisafisha chama – so CCM inaweza kuvurugika vibaya. Sababu ya mambo yanaoendelea

Kwa hiyo kusema eti kuna mtu atamtoa Mama Samia madarakani 2025 – hiyo ni ndoto ya mchana. Lakini tukubaliane, CCM wanakutana na balaa kubwa 2030.

Watu watakuwa wamechoka, wamepoteza matumaini, na hawataki tena kusikia hadithi za maendeleo kwenye karatasi.
Kwa namna Watanzania walivyo,CCM itafanya rejuvenation kidogo tu...itashangaa wanapeta
 
Ikitokea akapewa muhula wa pili sioni akimaliza muda.

Sijui namna atakavyoachia hiyo nafasi huko mbele, ila huyu mama ni ‘bitter taste’ kwa watanzania aijawahi tokea kiongozi kutokubalika hivi ndani ya muda mfupi.

Miaka mitano tena sioni watanzania wakimvumilia mpaka mwisho.

Time will tell
Wananchi wa Tanzania hata wachoke kiasi cha kusikia kichefu chefu, hawana cha kufanya maana wameumbwa Kwa ajili kunyonywa na kukandamizwa!
 
Back
Top Bottom