Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Mpk muokote makopo mwaka huu.Ikitokea akapewa muhula wa pili sioni akimaliza muda.
Sijui namna atakavyoachia hiyo nafasi huko mbele, ila huyu mama ni ‘bitter taste’ kwa watanzania aijawahi tokea kiongozi kutokubalika hivi ndani ya muda mfupi.
Miaka mitano tena sioni watanzania wakimvumilia mpaka mwisho.
Time will tell
Hakuna cha 6th sense mbele ya maCCM,6th sense - she will never become a president
Ni nani wa kumzuia?Mimi nawaambia hatokuwa Rais na huu ndo muhula wake wa Mwisho endeleeni kubisha
Angekuwa mtu muungwana angetambua hiliUko sahihi. Yeye alikuwa mgombea mwenza wa Mwendazake. 2015~2025 miaka 10 ya 2 terms of 5 years each. 2021-2025 kama Mwendazake angelikuwa hai wangelikuwa wanamaliza awamu ya 5.
Kilichotakiwa baada ya Magu ku-rest in peace March 2021, mama angezba pengo na kumalizia awamu ya 5 akaachia wana CCM wengine kuanza upya 6th Term.
Lakn sikio la kufa haliskii dawa. Ngoma imepasuka halisikii dawa. Mungu ameruhusu dhoruba ya baharini iwavurumishe na chombo kwenda mrema na kuzama.
Watanzania wapi hao?Ikitokea akapewa muhula wa pili sioni akimaliza muda.
Sijui namna atakavyoachia hiyo nafasi huko mbele, ila huyu mama ni ‘bitter taste’ kwa watanzania aijawahi tokea kiongozi kutokubalika hivi ndani ya muda mfupi.
Miaka mitano tena sioni watanzania wakimvumilia mpaka mwisho.
Time will tell
Kuna Watu kwl wamechanganyikiwaHakuna cha 6th sense mbele ya maCCM,
Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi kwa maandamano tu – hiyo haijawahi kufanikiwa kokote. Sababu ya nature ya watanzania kutoka kwenye maandamano huwa hawatoki
Na tukubali tu, mfumo wa urais wa Tanzania ulivyotengenezwa, Rais ana nguvu kubwa kuliko mtu yeyote – ndani ya chama na hata nje. Hivyo hata kama kuna upinzani ndani ya chama, bado yupo juu kwa game.
Sasa mama 2025 akishapita, ukweli ni kwamba ataongoza nchi akiwa na approval rate ya chini sana – pengine hata 30% tu. Yaani wengi hawatakuwa na imani naye, ila watakuwa tu wanamsikiliza sababu hana wa kumpinga kiuhalisia. Pia kuogopa kutekwa na kupotezwa
Na kumbuka, 2025 to 2030 ndo term yake ya mwisho hana cha kuogopa mbele, ataanza kufanya mambo kwa spidi yake – bila hofu. Mambo kama kupendelea Zanzibar au watu wake wa karibu yataongezeka mara mbili. Wale aliowateua nao watachukua hela kama hawajawahi kuziona, maana wanajua 2030 wanaondoka wote – hakuna cha second term wala nini.
Hapo ndipo CCM itaanza kuumia taratibu. Maana wananchi wengi watakuwa wameshachoka na utawala wa Mama, na mgombea wao wa 2030 atakutana na ukuta kila mtu hataki ccm. Ni kama ilivyotokea 2015 – watu walishachoka na CCM, Magufuli akaja kuwa kama pumzi mpya ikarudi kwenye game ccm hata kuvaa tshirt zao watu walikuwa wanazomea. Lakini safari hii hakuna Magufuli wa kuisafisha chama – so CCM inaweza kuvurugika vibaya. Sababu ya mambo yanaoendelea
Kwa hiyo kusema eti kuna mtu atamtoa Mama Samia madarakani 2025 – hiyo ni ndoto ya mchana. Lakini tukubaliane, CCM wanakutana na balaa kubwa 2030.
Watu watakuwa wamechoka, wamepoteza matumaini, na hawataki tena kusikia hadithi za maendeleo kwenye karatasi.
Mh! Yaani watanzania washindwe kumvumilia raisi?Ikitokea akapewa muhula wa pili sioni akimaliza muda.
Sijui namna atakavyoachia hiyo nafasi huko mbele, ila huyu mama ni ‘bitter taste’ kwa watanzania aijawahi tokea kiongozi kutokubalika hivi ndani ya muda mfupi.
Miaka mitano tena sioni watanzania wakimvumilia mpaka mwisho.
Time will tell
Utabadilishia wapi Mkuu tuweke kumbukumbu sawa😄Akiwa rais nakuahidi naenda kubadilisha jinsia
Katibiwe, ratiba na siku ya uchaguzi imeshatangazwaNRNE
CCM hawawezi kumpinga raisi kwa namna yeyote ile.Kuna Watu kwl wamechanganyikiwa
Mungu atamzuia. Chezea nguvu ya Mungu wewe!!Angekuwa mtu muungwana angetambua hili
Ila tayari ana uchu wa madaraka,
Na wa kumzuia hayupo.
Rais wa mioyo sio rais wa tanzaniaLISSU atakuwa Rais. Ni suala la muda tu.🇹🇿✍️
Hawa hawa ambao hawajawahi kuonyesha kutoridhishwa na uongozi kiasi hiki toka nchi ipate uhuru.Watanzania wapi hao?
Sisi watanzania wa kulalamika mitandaoni bila kuchukua hatua yoyote?
Absolutely. That's Amen n' Amen!6th sense - she will never become a president
Watanzania ni kina nani? Tuondolee uchawa hapa 😎Mawazo yako siyo msimamo wa watanzania
Watachukua hatua gani Mkuu!?Hawa hawa ambao hawajawahi kuonyesha kutoridhishwa na uongozi kiasi hiki toka nchi ipate uhuru.
Hii ni Tanzania ya CCM, ni Tanzania ya marehemu Magu na sasa ni ya Mama Samia....!!!TANZANIA YETU
Wa kuingilia kati hapo ni Mungu tuMungu atamzuia. Chezea nguvu ya Mungu wewe!!
Mungu huwa anaruhusu mambo fulani yatokee kwene Taifa au to an individual for purpose. Hilo utaliona tu through spiritual eyes na si kwa macho ya nyama. Unaelewa?