GE2025 Mama Samia Atapita Tu 2025, Lakini CCM Italipa Gharama 2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nakubaliana na wewe mkuu.

Nchi haina wazee, wala congress la kumdhibiti kiongozi ambaye hayupo kwa maslahi ya nchi na wananchi. Wamebaki kunungunika tu, kama vile mambo yapo sawa.
 
Watachukua hatua gani Mkuu!?
Hatua gani watachukua hilo sijui.

Lililo wazi leo nchi ipo kwenye ‘uncharted waters’ na unaona kabisa huyu mama ni time bomb ambae simuoni akimaliza muhula.

Too much resentment dhidi yake katika jamii.
 
Kwa namna Watanzania walivyo,CCM itafanya rejuvenation kidogo tu...itashangaa wanapeta
 
Wananchi wa Tanzania hata wachoke kiasi cha kusikia kichefu chefu, hawana cha kufanya maana wameumbwa Kwa ajili kunyonywa na kukandamizwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…