Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa nahisi mama aliwalenga Dangote na Sylvia Mulinge
huyu ni Dangote alipotaka kufungua kiwanda cha simiti mukamfanyia figisu figisu hadi akainua mikono juu na kuhepa >>>Tunajua Sylivia a.k.a mama lishe anakuja kuhemea, lkn Dangote naye anakuja kuomba kazi???
Mbona unapenda kuwahusisha kina Dangote na vitu vya kijinga kama akina mama lishe???
“Wawekezaji wanataka kuja Tanzania lakini kwa mambo yetu wanakimbia, tuvute tena uwekezaji, tupate ajira,fedha izunguke,uchumi ukue, nikiwa Makamu wa Rais kuna Mwekezaji alikuja, sijui alitishwa nini!, nadhani kaambiwa tutakupiga kosa la uhujumi uchumi, akaondoka”———Rais Samia
#MillardAyoIkuluUPDATES
“Vibali vya kazi vimekuwa janga, wanaosimamia vibali vya kazi wamejigeuza Miungu Watu , wamegeuza mradi, Mtu anawekeza mnalazimisha aweke Mtanzania, kila Mwekezaji ana haki ya kuweka Mtu anayemuamini yeye kwanini umlazimishe?, mtende haki”———Rais Samia
#MillardAyoIkuluUPDATES
Mimi ni Mtanzania mkuu, Nimewapa tu taarifa potential investors
Sylvia Mulinge hawezi kuwa mlengwa maana Vodacom Tanzania haimilikiwi na Wakenya! Na hatakaa kuwa CEO wa Vodacom Tanzania!hapa nahisi mama aliwalenga Dangote na Sylvia Mulinge
Nao wanalia njaa tuWakenya wako wapi sasa.
Wajiandae kwa machungu zaidi ya kipindi cha Magufuli, "dawa ya kiburi ni jeuri'More Motisha...