Mama Samia bado anafikiri Gen Z ndiyo tatizo! Anasingizia utamaduni ! Je ni utamaduni upi huo?

Mama Samia bado anafikiri Gen Z ndiyo tatizo! Anasingizia utamaduni ! Je ni utamaduni upi huo?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Yaani eti Samia ndiye anataka kumshauri Rutto aanze kuwateka Gen Z bila kujua wenyewe ndiyo kizazi kijacho. Wenzetu wana katiba nzuri, bunge na mahakama ambazo sio za machawa.

utamaduni gani wa utekaji, wizi wa kura, rushwa na undugu
 
Halafu Chande na mazafakas wenzake wanamaliza uchunguzi wao bila kutumbia nani alikuwa nyuma ya 2025 massacre!
 
Kuzaliwa Africa ni jehanamu wanayoisema waumini, hivi bado mtu mweusi atahukumiwa kule tunakoita mbinguni na firdaus?

Tofauti ya maisha ya mtu mweusi na mweupe humu duniani ni two opposite extremes yani! Na weusi wanarudi nyuma deile kuuacha ubinadamu kuelekea unyanini? Mtu mweusi wa miaka ya 60 anaweza kuwa ana akili kuliko wa kisasa yani. Maisha yetu ni hukumu tayari sidhani kama huyo mungu (kama yupo) atahukumu tena hawa watu labda weupe.

Apedomia aliita Mtikila (RIP)
 
Inachukiza na kuumiza sana kuona mtu amekosea alafu anajifanya kama haoni wapi kakosea na ubaya zaidi anawaona wengine kama wajinga aiseee....🫤
 
Usome ELIMU MBALIMBALI PAKISTAN alafu uje uniambie unao uwezo wa kudadavua mambo kwa kina wakati hata exposure hauna!!

Tulishajichanganyaa!!!
 
Akili hana huyo msimshangae, mtu mwenye akili kamwe hawezi (japo kuthubutu tu) kutamka mbele za watu (tena kwa msisitizo) eti bei ya lita moja ya mafuta USA ni dola 8000!!!.
 
Nimefarijika sana kumsikia Mh. William Ruto akilihutubia bunge la vilaza wagonga meza. Hakika yale yote aliyohutubia yamemtenganisha na Marais wengine wenye uwezo mdogo kichwani.
 
Back
Top Bottom