M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 6,363 Reaction score 5,354 May 5, 2026 #21 cocastic said: Kuna nini kwanii?? Click to expand... ikulu kuna manyani, majanini
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 May 5, 2026 #22 Mcharo son said: ikulu kuna manyanj, majanini Click to expand... Wee
Msudu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2021 Posts 1,399 Reaction score 2,240 May 7, 2026 #23 Tatizo anahisi kuwa Gen Z ni vijana wa chadema.
The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,900 Reaction score 18,751 May 7, 2026 #24 Kamundu said: Yaani eti Samia ndiye anataka kumshauri Rutto aanze kuwateka Gen Z bila kujua wenyewe ndiyo kizazi kijacho. Wenzetu wana katiba nzuri, bunge na mahakama ambazo sio za machawa. utamaduni gani wa utekaji, wizi wa kura, rushwa na undugu Click to expand... Kicho kisingizio cha Utamaduni wetu wanakitumia sana. Lakini inaelekea huo utamaduni wao na utamaduni wa Wananchi unatofautiana.
Kamundu said: Yaani eti Samia ndiye anataka kumshauri Rutto aanze kuwateka Gen Z bila kujua wenyewe ndiyo kizazi kijacho. Wenzetu wana katiba nzuri, bunge na mahakama ambazo sio za machawa. utamaduni gani wa utekaji, wizi wa kura, rushwa na undugu Click to expand... Kicho kisingizio cha Utamaduni wetu wanakitumia sana. Lakini inaelekea huo utamaduni wao na utamaduni wa Wananchi unatofautiana.