permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Njooni kama hatuwachemshi supu kabisa.Si mmesema Mnataka equal business competition,Tunakuja huko TZ tujue Nani anajua kununua mashamba,just wait wacha uoga
Kwa sababu nakuona unakomenti ujinga so tunakuelekezaga Tu.Huwa unachekesha kwa namna sindano hukuingia mpaka unaniquote mara mbili mbili..... na bado.
Hatuwaogopi ila tunahofia mtakuja na Al-shababu!Hehehe bora muendelee hivyo kutuogopa maana kwa kweli mkiachia tutawakoloni kabisa.
Si ulimskia anasema..tukaribishe wawekezaj mikono miwil...lets wait...tutamkumbuka tuu mzee baba...i guess we wer not ready to be ran by a woman...africa bado sanaNyie jamaa miaka nenda rudi mmekuwa mkiimezea mate Ardhi yetu, tunamuasa Raisi wetu asije akaingia kwenye mtego wenu wa kutaka kuja kuwekeza kwenye masuala yahusio Ardhi, tutakuwa tumekwisha. Chonde Mama Samia, hawa wasikuhadae.
Kwa sababu nakuona unakomenti ujinga so tunakuelekezaga Tu.
Si ulimskia anasema..tukaribishe wawekezaj mikono miwil...lets wait...tutamkumbuka tuu mzee baba...i guess we wer not ready to be ran by a woman...africa bado sana
ππ°πͺπ₯π₯ Mgeni Njoo mwenyeji apone,Tunakuja na tumekaribishwa na SuluhuTunakumbuka maneno ya Rais wenu aliyepita Mwai kibaki, akiwa ziarani ughaibuni alinukuliwa akiwashawishi wakenya wenzenu waje wachukue Ardhi ya Tanzania ipo kubwa na ya kutosha.Mkome kabisa, mwambieni Uhuru mgawane aliyonayo
Hio yenu precious,Ndio tunaitaka,mlisema Tunawatenga Sasa lazima Tuwe Karibu Kama mandungu na Madada,Chako Ni ChanguπIliyo cheap zaidi ni hiyo inayowazunguka hapo.. Kwani yeye Jayden aliipata kwa sh ngapi?
Let the Games begin,mlituonesha Jinsi Tanzania niya kuvutia Sasa tunataka kukuwa Mandungu wa karibuπ€£π€£π€£
So ya kwenu ni ya hovyo haifai?Hio yenu precious,Ndio tunaitaka,mlisema Tunawatenga Sasa lazima Tuwe Karibu Kama mandungu na Madada,Chako Ni Changu[emoji14]
Apana ukizoea kukunywa Chai itaisha Radha,uhamie kwa KahawaSo ya kwenu ni ya hovyo haifai?
Tunataka kununua ya TZπ
Malizaneni na Al shabab kwanzaLet the Games begin,mlituonesha Jinsi Tanzania niya kuvutia Sasa tunataka kukuwa Mandungu wa karibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali ata ukiuziwa, serikali wakiitaka mda wowote wanakutoa, nchi hii iliona mbali vip huko Kenya?Si mmesema Mnataka equal business competition,Tunakuja huko TZ tujue Nani anajua kununua mashamba,just wait wacha uoga
Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali, Ata sisi raia tunalipia lakini siku serikali wakiitaka wanakuondoa, hivyo hakuna cha kututisha, wewe panga tukiona ardhi ina manufaa kwetu tunakutoa na hauna cha kufanya maana sheria yetu ipo waziLicha ya mlivyokaza na kuogopa Wakenya, nilishangaa kumbe kuna Wakenya tayari wamekodi mashamba makubwa huko, sasa siku mkiachia ndio mtakoma.
Nchi ndogo kama [emoji1139] Inawatia hofu hivi? Msiwe na hofu [emoji1241] Sisi ni waungwana.
Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali ata ukiuziwa, serikali wakiitaka mda wowote wanakutoa, nchi hii iliona mbali vip huko Kenya?
Taqbri,taqbriMama ni mpole na muelewa sana,ni lazima atawakubalia wakenya.