Mama Samia, chondechonde na Ardhi yetu kwa Wakenya

Mama Samia, chondechonde na Ardhi yetu kwa Wakenya

Nyie jamaa miaka nenda rudi mmekuwa mkiimezea mate Ardhi yetu, tunamuasa Raisi wetu asije akaingia kwenye mtego wenu wa kutaka kuja kuwekeza kwenye masuala yahusio Ardhi, tutakuwa tumekwisha. Chonde Mama Samia, hawa wasikuhadae.
Si ulimskia anasema..tukaribishe wawekezaj mikono miwil...lets wait...tutamkumbuka tuu mzee baba...i guess we wer not ready to be ran by a woman...africa bado sana
 
Tunakumbuka maneno ya Rais wenu aliyepita Mwai kibaki, akiwa ziarani ughaibuni alinukuliwa akiwashawishi wakenya wenzenu waje wachukue Ardhi ya Tanzania ipo kubwa na ya kutosha.Mkome kabisa, mwambieni Uhuru mgawane aliyonayo
😛🇰🇪🔥🔥 Mgeni Njoo mwenyeji apone,Tunakuja na tumekaribishwa na Suluhu
 
Iliyo cheap zaidi ni hiyo inayowazunguka hapo.. Kwani yeye Jayden aliipata kwa sh ngapi?
Hio yenu precious,Ndio tunaitaka,mlisema Tunawatenga Sasa lazima Tuwe Karibu Kama mandungu na Madada,Chako Ni Changu😛
 
Licha ya mlivyokaza na kuogopa Wakenya, nilishangaa kumbe kuna Wakenya tayari wamekodi mashamba makubwa huko, sasa siku mkiachia ndio mtakoma.
Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali, Ata sisi raia tunalipia lakini siku serikali wakiitaka wanakuondoa, hivyo hakuna cha kututisha, wewe panga tukiona ardhi ina manufaa kwetu tunakutoa na hauna cha kufanya maana sheria yetu ipo wazi
 
Nchi ndogo kama 🇰🇪 Inawatia hofu hivi? Msiwe na hofu 🇹🇿 Sisi ni waungwana.
 
Nchi ndogo kama [emoji1139] Inawatia hofu hivi? Msiwe na hofu [emoji1241] Sisi ni waungwana.

Mzee baba, watu wa mpakani na Kenya tumefurahi, something positive might come out of this, kwa minajili ya kibiashara.
Wenye hofu sio wote
 
Tanzania ardhi ni Mali ya Serikali ata ukiuziwa, serikali wakiitaka mda wowote wanakutoa, nchi hii iliona mbali vip huko Kenya?

Muwe mnakuwa waangalifu mnapotaka kuongelea mambo ya ardhi, inabidi muwe waangalifu sana. Duniani kote serikali ikitaka kutwaa ardhi toka kwa mtu awaye yote kwa ajili ya masilahi ya umma kama vile ujenzi wa barabara, shule n.k. (for public interest) lazima serikali imlipe fidia mtu huyo. Na kitu cha kukumbuka, majadiliano siyo kama serikali ichukue eneo au la, bali ni eneo likitwaliwa ni fidia lazima iwe kwa wakati, ya haki na kamili. Hilo ni kwa law families zote za dunia. Pia kwa mifumo yote ya umilikaji ardhi (lease vs frehlehold system) duniani.
 
Back
Top Bottom