MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
pesa zilitumika kununua SSH 2025 baiskeli na SSH 2025 pikipiki bila kusahau SSH 2025 chupiMama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga.
Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza. Sasa hivi mitambo yote imerudishwa yard na hamna wafanyakazi wowote site.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi huu, Watanzania wenzangu tujitahidi kuchagua watu wenye uwezo wa kutosha kusimamia miradi ya kimkakatiTetesi: - Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama
Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama mpaka serikali itakapolipa.www.jamiiforums.com
Hakuna aliyepiga chiniMama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga.
Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza. Sasa hivi mitambo yote imerudishwa yard na hamna wafanyakazi wowote site.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi huu, Watanzania wenzangu tujitahidi kuchagua watu wenye uwezo wa kutosha kusimamia miradi ya kimkakatiTetesi: - Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama
Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama mpaka serikali itakapolipa.www.jamiiforums.com
Mkuu huwa unapambana sana kumtetea maza, hongera sana!Hakuna aliyepiga chini
Napambanaje? Hakuna Nguvu yeyote Bali ni utaratibu ule ule wa miaka yote.Mkuu huwa unapambana sana kumtetea maza, hongera sana!
Na ukweli ni kwamba atakuwa rais wetu tu kwa namna yoyote ile...system ishaset hivyo.
Ila kiukweli kabisaa mama watz walio wengi hawamkubali, hasa wale wa maisha ya kati na ya chini...ndio maana leval za kumtangaza/kumnadi sio za dunia hii!