Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
WanaJf,
Salaam!
Nauliza wafuatiliaji na wachambuzi wabobezi wa masuala ya utawala, uchumi na siasa JE ni kweli MAMA SAMIA kaupiga mwingi?
(a). Tumpime kwa bei ya mafuta ya kula (cooking oil)?
(b). Tumpime kwa mafuta ya petrol, taa, na vilainishi?
(c). Tumpime kwa mfumuko wa bidhaa za vyakula na vya viwandani?
(d). Tumpime kwa kupanda au kushuka kwa bei za nauli na usafirishaji?
Najua hapa kwa kadri mtakavyotoa maoni ndivyo Serikali utakavyoweza kujisahihisha iwapo kuna sehemu yenye dosari. Lugha ya staha ni muhimu sana.