Mama Samia, mvua imetosha mama, hebu ibalansi mama yetu

Mama sisi wa dodoma tunaomba umpe rungwe nchi kwa miezi sita tu ili atuletee bahari dodoma maana vumbi linatufanya tupate ukilema wa macho
 
Sijajua Imani Yako ila ktk Islam hiyo ni shirk ndogo hata kama ni utani basi jitafakari.
 
Mimi lile langu la Mara nimechanganya na mavi ya mbuzi nikazimika.
 
Ssi tunaochukia uovu na kupebda haki, tunaomba umwondoe Bashite mbele ya macho ya wapenda haki, mpeleke huko wanakoishi wauaji na wadhulumaji wa haki za raia, kabla hujajipakaza na laana yake maana anayeshikamana na muuaji huku akijua kuwa huyu ni muuajj, huibeba laana sawa na muuaji mwenyewe.
 
Mi nashauri siku 2 mvua, 3 jua, Jumapili na Jmosi mawingu tu, Mama yetu tusikie.
 
Rais atakuwa anashangaa tu aina ya wananchi alionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…