johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki.
Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi.
Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini DSM katika viwanja vya mwembe Yanga.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!