johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amemnukuu Makongoro Nyerere!Mama Samia kapatwa na nn? Hakuwa mtu wa vijembe uchwara kama hivi. Nini kimempata huyu mama?
Humjui mama Samia vizuri wewe, awamu ya nne alikua kinara wa kutoa mipasho kwa upinzani bungeni. Na hii ndiyo ilikua kete yake ya kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Magufuli.Mama Samia kapatwa na nn? Hakuwa mtu wa vijembe uchwara kama hivi. Nini kimempata huyu mama?
Kumbe! Basi ngoja nichokonoe habari zake kisha nimuanzishie uzi humu. Asitutie joto bure huyu.Humjui mama Samia vizuri wewe, awamu ya nne alikua kinara wa kutoa mipasho kwa upinzani bungeni. Na hii ndiyo ilikua kete yake ya kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Magufuli.
Tumpeleke tumpeleke, ccm ilishajifia kitamboMgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki.
Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi.
Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini Dsm katika viwanja vya mwembe Yanga.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Huyo mama naona kaamua kuanza matusi ili amfurahishe bosi wake na kama hajui wapinzani kuwa walikuwa wana muheshimu sanaMwambieni asubiri wiki mbili za mwisho za kampeni tutamchafua hadi akalazwe
Sina hata hela ya sanda lakini poleni wafiwaTumpeleke tumpeleke, ccm ilishajifia kitamboView attachment 1560150
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkude hongera kwa kupata jiko! Yaani, mkude hongera kwa kuoa! Kumbuka ni lugha ya kiswahili hii, ina fasihi, tafsida, nahau, methali, misamiati na kadhalika. Hivyo, maelezo yatolewayo kwa kutumia lugha hii yatatengemea ujuzi, ufundi, ubobezi wa mtu kwenye lugha hii kuyaelewa!Jiko la mkaa kazi yake ni kupika vitu ili viive na sio kukumbatiwa. CHADEMA, ni jiko la kuivisha agenda za haki, uhuru na maendeleo ya watu...
Kalewa sifa, watu sasa hivi wataaanza kuhoji kumuona mume wake majukwaaniAmakweli siasa ni kitu mbaya sana, hadi huyu mama amebadilika hivi...[emoji848][emoji848]
Walahi sikutegemea kabisa aiseeee...
Id yako mkuuMama Samia kapatwa na nn? Hakuwa mtu wa vijembe uchwara kama hivi. Nini kimempata huyu mama?
Huyo mama kaamua kutukana wana cdm, naona kaamua kuikataa heshima aliyo kuwa anapewa na wana cdm.Mkude hongera kwa kupata jiko! Yaani, mkude hongera kwa kuoa! Kumbuka ni lugha ya kiswahili hii, ina fasihi, tafsida, nahau, methali, misamiati na kadhalika. Hivyo, maelezo yatolewayo kwa kutumia lugha hii yatatengemea ujuzi, ufundi, ubobezi wa mtu kwenye lugha hii kuyaelewa!
Kwa kifupi, jiko ukumbatiwa.
Kigogo ana chanja tu vijiti na fimbo tupa kule.[SUB]Mama kakabidhiwa kwa Kigogo2014, anaendeleaje?[/SUB]
Sasa hivi ataanza kulialia oooh mimi ni sawa na mama yenu[SUB]Mama kakabidhiwa kwa Kigogo2014, anaendeleaje?[/SUB]
Mama Samia kapatwa na nn? Hakuwa mtu wa vijembe uchwara kama hivi. Nini kimempata huyu mama?
Amemnukuu Makongoro Nyerere!