Uchaguzi 2020 Mama Samia: Nakubaliana na Makongoro Nyerere, CHADEMA ni jiko la mkaa huwezi kulikumbatia ama litakuunguza au litakuchafua na masizi!

Humjui mama Samia vizuri wewe, awamu ya nne alikua kinara wa kutoa mipasho kwa upinzani bungeni. Na hii ndiyo ilikua kete yake ya kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Magufuli.

Sawa kabisa, huyu na marehemu Sita ndio walikuwa maspika wa bunge la maalum la katiba, walishiriki vizuri kuvuruga maoni ya wananchi. Huyu mama sio kapoa, ila kakutana na kejeli za jiwe ndio maana hata hiyo nafasi kaichukia, vinginevyo angekuwa anamwaga siasa za majitaka kama kawaida yake.
 
Ni kichaa tu ndiyo atawaza swala la kukumbatia jiko la mkaa.

Jiko la mkaa linaheshimiwa mnoo na familia na kazi yake ni kupika chakula na sio kukumbatiwa
Dah..... .mkuu umemuelewa? Au umevaa miwani? Usiwe na mkono mrefu faza [emoji2960]
 
Yule mzee kamuharibu sana yule mama,kumbukumbu zangu zinaonesha nyuma(Siku za nyuma)hakuwa vile,
 
Huyu Maza vipi jiko unalikumbatia ili iweje??? Anapenda kukumbatia Serengeti boy Sana eeeeeee! Watamfirimbaaaa shauri yake!
 
Mama Samia kapatwa na nIini Hakuwa mtu wa vijembe uchwara kama hivi. Nini kimempata huyu mama?
Nafikiri baada ya kuanza usagaji in kigogoz voice....ila mdomo wake umempotezea heshima itakayodumu mda mrefu kuliko muda wa kuomba kura
 
Humjui mama Samia vizuri wewe, awamu ya nne alikua kinara wa kutoa mipasho kwa upinzani bungeni. Na hii ndiyo ilikua kete yake ya kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Magufuli.
Kweli kabisa bunge la katiba alikuwa anamnyoosha kidole juu anamjibu Ismail Jussa kama muimba taarabu , anasema mimi sijaufyata , wewe Jusa ndio umeufyata wenye hiyo clip waiweke hapa muone ni mtu wa namna gani , halafu ile sumu aliyowekewa mwaka jana naona bado iko mwilini , mamaaaa huyooo
 
Umechanganya madesa bwashee..... Yule aliitwa Asha Bakari amesha rip!
 
Sijuwi nani anakumbatiaga majiko!
Labda hao wa kijani kibishi.
 
Huyu demu wa mkuu wa mkoa Mtumbuliwa wala hatutoi kwenye reli. Yeye aendelee kulea Kibenteni chake kisichozalisha.
 
Huyu Mama kapoteza ustaarabu kabisa,huyu sasa ndiyo anazidi kuikosesha ccm kura.
 
Bwashee jiheshimu Tafadhali!
Ndo aliyokuwa anatafuta, watu wakikuheshimu jiheshimu. Anadhani anaishi Dunia ya peke yake ambamo hata anavyojibadilisha mavazi kwenda kugongwa na Bashite hataonekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…