Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Wanabodi sijui ni mimi peke yangu au na nyie mnaona, huyu Mama toka ametwaa madaraka amekuwa Kiongozi Mnyenyekevu sana kwa Wananchi wake.
Hotuba ya Mei Mosi imejaa unyenyekevu wa hali ya juu sana kiasi cha kuleta Matumaini na kuzidi kupendwa na Wafanyakazi.
Cha kujifunza sometimes how to speak inaweza kukusaidia pia kueleweka na kukubalika.
Nilichokiona Mama ana Matamanio ya kumeet Matamanio ya Watanzania ila Serikali aliyoachiwa haina uwezo huo, tumpe muda.