Ni kweli, Umasikini wa nchi ndio unamkwamisha. Maana hadi nimemshangaa eti anawaomba radhi Wafanyakazi kwa kutoongeza mshahara na kutoa sababu kuwa Covid imetuathiri na uchumi umeshuka.
Angekuwa mtangulizi wake wala asingekuwa na haja ya kutoa hizi sababu, angesema tu kama kawaida yake hakuna nyongeza. Uchumi unakuwa kwa kasi sana, tupo kwenye uchumi wa kati.