Uchaguzi 2020 Mama Samia Suluhu azindua awamu ya tatu ya kampeni CCM

Uchaguzi 2020 Mama Samia Suluhu azindua awamu ya tatu ya kampeni CCM

Comrade wewe ungeendelea tu issues zako za ulozi na ushirikina huku kwenye siasa unatepeta sana.
Nadhani kwa ukosefu wa hoja kwa upande aliopo huyu jamaa nadhani wanahitaji sana watu wa fani yake ili kupata hata wabunge 5 awamu hii. Hakuna mtanzania makini anawahitaji
 
Hakika CCM imejipanga kisayansi na inatumia rasilimali vyema.
Leo Mama Samia amemkabidhi Ilani Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kongwa Ndugu Job Y Ndugai.
View attachment 1582558View attachment 1582560
Kama ni huyo natoa wito kwa Wana Kongwa wasimchague wachague mtetezi wa kweli was Uhuru,haki na maendeleo.Wale wote waliotuabgusha kwa kufurahia dhulma zidi ya haki .Hapana
 
Hivi nchi hii Ndugai anaweza kumshawishi nani, labda familia yake?
Kwani Dj Mbowe na genge lake, unafikiri wanaweza shawishi nani?. Tumewashtukia, Oct 28 dawa itakuwa tayari. Chadema saccos, Moja ya chama hovyo kabisa.
 
Wagombea hawa wawili lazima walindwe

Mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA apewe ulinzi wa kutosha ili asije shambuliwa tena.

Mgombea urais kupitia chama cha CCM apewe ulizi wa ziada siyo tu dhidi ya maadui bali hata dhidi yake mwenyewe yaani hasipate hata nafasi ya kula sumu ya panya au kujitundika. Tuna jambo letu naye, anatakiwa awepo hai ili atueleze kuhusu ayfuatayo:

  • ndugu zetu walio tekwa na kupotea
  • watu waliopigwa risasi
  • Watu wasio julikana
  • Upotevu wa fedha za umma
  • Gharama halisi za ununuzi wa ndege
 
ndani ya dongobesh ...mama ameliamsha
 
Back
Top Bottom