Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anashindana na nani??Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’
Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la Kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Baadhi ya wadau kutoka taasisi hio wameelezea Maoni hayo juu ya Uongozi wa Rais Samia na Yale yote aliyoyafanya tokea aingie Madarakani na Kuongezea Kua Wapo Nae Bega Kwa Bega kumsaidia Yale Yote Anayopanga Kufanya Katika ilani ya Chama Chao.
Anashindana na nani?Mwanamke wa kwanza kupigiwa kura ya kuwania Uraisi Tanzania
Historia inaenda andikwa
Kazi iendelee
Hashim Rungwe Spunda Ubwabwa.....Kwani Samia ana shindana na nani?.
Anashindana na nani?
Uchaguzi ungekuwa huru na wa haki...asingeshinda!Mwanamke wa kwanza kupigiwa kura ya kuwania Uraisi Tanzania
Historia inaenda andikwa
Kazi iendelee
Majangili tupuMmebadilisha jina! Lanza na jina Chawa wa Mama na mwenyekiti wenu Mwijaku.
Na yeye ni sehemu ya tatizo kubwa haswaKwa mara nyingine tena mama unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kuharalisha upigaji, samia support wanataka nini, kwani kuna mtu hajui kama mama ndio rais anae kuja baada ya october, jina la samia limeanza kutumika kama fursa.
Samia suppor
Samia affardable house
Gurudumu la samia,
Hanang samia bus terminal,
Bungeni samia
Kamati ya maridhiano samia,
Hili jina mpaka oct litakua limechoka sana
Kazi tunayo
Matapeli na wezi wa mali za umma ndiyo wanamkubali mazaUchaguzi ungekuwa huru na wa haki...asingeshinda!
Haungwi mkono na watz wengi hasa wa chini...makelele ni ya wafaidika wachache wa ngazi za juu pamoja na machawa tuu!
Wanatafuta njia ya kumpiga pesa Bi Chura Kiziwi.Majangili tupu