PreGE2025 Mama Samia Support tupo tayari kumpigania rais Samia kushinda katika uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu kwan mama anashindana na nani? Weken free and fair election muone kitachotokea hamtaamini macho yenu, ila kwa hali ilivyo sasa hivi atashinda Zaid ya asilimia 80
 
Uchaguzi ungekuwa huru na wa haki...asingeshinda!
Haungwi mkono na watz wengi hasa wa chini...makelele ni ya wafaidika wachache wa ngazi za juu pamoja na machawa tuu!

Subiria siku hiyo utajua namba au?
 
Hiiii nchi imeshuhudia utawala mwingi, lakini utawala wa Samia haufai hata kusimuliwa kwa wajukuu na watoto wangu.
 



Kushinda against who? Haha

Kwani mnashindana na nani kwenye Urais
 
Madhara ya nchi kuongozwa na mburukenge mwenye akili duni. This woman is a skunk wallahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…