Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda si mrefu tutaacha kukuunga mkono,hata ndani ya chama
Si uache kuanzia leoChonde chonde Mama Samiaa Suluu Hassan,kama hitaji la watanzania kuwa na katiba mpya hutaliona kwa sasa muda si mrefu tutaacha kukuunga mkono,hata ndani ya chama
Anashtakiwa kabisa na kushindwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchiHivi hili la kuzuia shughuli za kisiasa, kisheria haliwezi kudaiwa Mahakamani?
Naona limekaa kama hisani ya mtu itakavyompendeza
Kushitaki ni jambo moja ila hukumu ya haki ni jambo lingine..!Hivi hili la kuzuia shughuli za kisiasa, kisheria haliwezi kudaiwa Mahakamani?
Naona limekaa kama hisani ya mtu itakavyompendeza