Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ukiwa Rais inabidi uwe na ngozi ngumu.
1. Utakosolewa, Utasakamwa, Utatukanwa. Hapa inabidi uwe mvumilivu kwelikweli
1) Magufuli alitukanwa sana mitandaoni.
2) JK alitukanwa sana mitandaoni ikiwemo kutengenezewa picha za fedheha (wenye kumbukumbu nzuri mtakumbuka zile picha za Ze Utamu)
3) Mzee Mwinyi vijana wa chuo kikuu walimchora vikaragosi vya kudhalilisha kwelikweli ( Enzi za Mzee Punch)
3) Hata wewe mama Samia utatukanwa sana.
4) Kwa hiyo vumilia, stay focused.
5) Hicho cheo ulichonacho ni kikubwa mno, ukikunjua makucha yako utaumiza wengi. Nakushauri usifanye maamuzi kwa hisia, ukitaka kufanya maamuzi, Jiridhishe uambiwayo, usikiayo kwa ushahidi usio na chembe ya shaka ili usije ukaumiza wenye haki.
6) Kila nafasi ya utumishi ina mitihani yake, na kila nafasi iwapo kubwa basi na mtihani wake ni mkubwa. Nafasi yako ya Urais ni kubwa, na fahamu kuwa mtihani wa Urais ni mkubwa pia. Kwa hiyo kuwa makini mno.