Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze kufanya usajili wa maombi ya leseni
Hizi ni hujuma za wazi kabisa, Waziri Ummy na Mama Samia tunaomba msaada.
Hizi ni hujuma za wazi kabisa, Waziri Ummy na Mama Samia tunaomba msaada.