Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kwani Tanganyika inahusisha pia Zanzibar?Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze kufanya usajili wa maombi ya leseni
Hizi ni hujuma za wazi kabisa, Waziri Ummy na Mama Samia tunaomba msaada.
niKwani Tanganyika inahusisha pia Zanzibar?
Kama ni Mzanzibar huna haki kwa kuwa siyo Mtanganyika mkuu.Waambien watufungulie system ya maombi ya leseni, hata kama sio issue ya muungano ila tuna haki ya kuomba
ni
oKama ni Mzanzibar huna haki kwa kuwa siyo Mtanganyika mkuu.
Koma kabisaSisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze kufanya usajili wa maombi ya leseni
Hizi ni hujuma za wazi kabisa, Waziri Ummy na Mama Samia tunaomba msaada.
Medical Council of Tanganyika. Hebu soma tena.Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze kufanya usajili wa maombi ya leseni
Hizi ni hujuma za wazi kabisa, Waziri Ummy na Mama Samia tunaomba msaada.
[emoji115][emoji115][emoji115]Medical Council of Tanganyika. Hebu soma tena.
Dah.... TANGANYIKA ,[emoji2960]Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze kufanya usajili wa maombi ya leseni
Hizi ni hujuma za wazi kabisa, Waziri Ummy na Mama Samia tunaomba msaada.