sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Siwezi muita mama Lulu mama lulu kwani mimi nilimjua kwa jina la shikana wakati huo mama yake akiishi na mtoto huyo mbagala Rangi tatu.
Nakumbuka tulivyoishi nae mama akiwa mtu wa tungi ile mbaya,nilikuja kumuona huyu mama hamnazo alipoamia tabata,aliwasahau ndugu na jamaa alioishi nao,hasa wale alio kuwa akiwaachia shikana na yeye kwenda kwenye mabata na vibanda enzi hizo!
Ushauri wangu mama shikana kaongee na wazee ili wampe afya mwanao na wewe raana ikutoke na imtoke mwanao huko gerezani