Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Sema wafanyabiashara nashindwa kuwaelewa
Najua hela anazo na hana biashara moja. Na mfahamu sana na hata binti yake hela anazo
 
Kassim Majaliwa alijichekea sana
Ila ndio wafanyibiashara wetu hao, na ndio mabossi na matajiri zetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan anaongea na waziri mkuu km na mjumbe wa mtaa wake, jasiri huyu mama.
 
Da inamaana alifungia maafisa ndani ya stoo ...
 
Da inamaana alifungia maafisa ndani ya stoo ...
Ni wezi walikua wanatumia uafisa kuibia watu walikutana na chuma cha Pua kila wakimuangalia wanaona hii ngoma kiboko hiyo taarifa iliisha kimya kimya maana ilikua aibu kwao na hawakukatiza tena ule mtaa baada ya kufunguliwa wahuni wakashangilia mpaka wanaelekea Mtaa wa Msimbazi nilicheka sana...huku Sinyaa akitaka kufungua kesi ya kubomolewa Store yake na kupoteza mali ile Kariakoo ilikua na watu Mamafya sana...
 
Kwani kuna formula maalum ya kuongea na Waziri Mkuu tofauti na Mjumbe wa mtaa!!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app

Mkuu
Unajua wa Tz tumezoea faking, inaonenakana jamaa alitaka mama aanze na kushukuru kama bungeni and all that, lingine ni kua context ile na kauli zile inaendana! Ndio maana kiongozi wetu aliwaambia wawe huru kuongea lolote kwa nia ya kujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…