Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Km mwanae anasoma Tanganyika International Schools je?.Ada ya pale milioni zaidi ya sabini kwa mwaka.Kwa hiyo usione mtu analialia Kuhusu ada ya mwanae ukadhani ni maskini,uliza Kwanza shule anayosoma huyo mwanae.
Jamaa mmoja nikasema watu wengi tumeingia kwenye mkumbo wa kulia Ada wakati Ada zetu zinalipika
 
Kha!kha!,Kwanini wasingemfungulia kesi mahakamani?.
Rahaa ya kukaamuliwa maziwa yawepo,Kama maziwa hakuna ukikamuliwa lazima usikie maumivu Kama vile unakamuliwa damu,na lazima uwehuke kidogo, asikuambie Mtu,wala simlaumu Mama wa Watu! Nakumbuka kipindi Cha nyuma kuna tukio la Mama mmoja huko mbezi kupandaa Juu ya Paa lake baada ya Bank kutaka kupiga mnada Nyumba ambayo Mume alichukua mkopo kinyemela bila ya Mke kujua! Mambo tafrani Maisha yana Siri nzito sana! Ni Mungu tu ndiyo anajua mwisho wa mapambano yetu hapa Duniani!!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Eh kwa appearance yake hakika mumewe ana kuwaga na usiku mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…